Kudadadeki, usupastaa ni unawapoteza watotot!!!!!!!!!!!

Najua wale wepesi wanaweza kukimbilia kupiga pu..............

huyu mtoto ni mdogo lakini mambo yake ni makubwa

hahahahahaaaaaaaaaaaa,, kajitangaza kwenye magazeti eti yeye huwa hamshindwi yeyote

anasemekana kashatoka na midume iliyoshiba zaidi ya kumi,

mwenyewe kawakubali wawili.

kazi ni kwakooooo.........

kazini kwako.

Mwenyeezi Mungu amsameh na amfungulie macho na masikio na amrudishe kutoka kubaya na kurudi kwenye njia njema.

Ukimuona mwenzako au mwana wa mwenzako anapotelewa ni vyema ukamuombea mema, dunia hii hujui yatayokukuta wewe au wanao au nduguzo na majaribu ni mengi kwa sasa kuliko tulikotoka. New World Order inazidi kushamiri.
tatizo ni kwamba vikiwaga kwenye hatua hiyo hata umwambieje hakuelewi. Kila anachokifanya yeye ndo anaona kiko fresh, wengine atawafananisha na mpiga guitar kwa mbuzi.

wewe ni bonge la mshamba,kuna nini cha ajabu hapo wewe kinyago

Katoto kako kiwango sijui kwa nini kanajiachia hovy hovyo???

Kanadai kanajihisi kana pepo la mahaba maana anapokutana na mwanaume asipomkumbatia huwa hajisikii amani kabisa

mh!!!!

Mwenyeezi Mungu amsameh na amfungulie macho na masikio na amrudishe kutoka kubaya na kurudi kwenye njia njema.

Ukimuona mwenzako au mwana wa mwenzako anapotelewa ni vyema ukamuombea mema, dunia hii hujui yatayokukuta wewe au wanao au nduguzo na majaribu ni mengi kwa sasa kuliko tulikotoka. New World Order inazidi kushamiri.

ameeen.

Hayo madunga embe yanapatkana wap kwan?

Mwenyeezi Mungu amsameh na amfungulie macho na masikio na amrudishe kutoka kubaya na kurudi kwenye njia njema.

Ukimuona mwenzako au mwana wa mwenzako anapotelewa ni vyema ukamuombea mema, dunia hii hujui yatayokukuta wewe au wanao au nduguzo na majaribu ni mengi kwa sasa kuliko tulikotoka. New World Order inazidi kushamiri.

Faiza nashukuru kwa kutukumbusha hilo, nasi tuna watoto, dada, binamus etc etc, tuwaombee yasiwapate majaribu haya!!1

Hakana akiri thats why. Hovyo kabisa, hapo bado kubakwa tu teh!

Katoto kako kiwango sijui kwa nini kanajiachia hovy hovyo???

Jaman acheni unafiki,kila kitu kipo kwa ajili ya matumizi alimradi kiwe kina uwezo wa kutimiliza hayo majukumu!!sasa nyie mnasumbuliwa na wivu!na hamtamgusa kamwe!wivu unawasumbua nyie!kwendeni zenu huko!
kazini kwako.

Siku hazigandii we dogo utajuta uzeeeni ukiwa umeishia kupata ........;

Maaadili kwani bado yapo siku hizi katika jamii yetu?

Mwenyeezi Mungu amsameh na amfungulie macho na masikio na amrudishe kutoka kubaya na kurudi kwenye njia njema.

Ukimuona mwenzako au mwana wa mwenzako anapotelewa ni vyema ukamuombea mema, dunia hii hujui yatayokukuta wewe au wanao au nduguzo na majaribu ni mengi kwa sasa kuliko tulikotoka. New World Order inazidi kushamiri.

thats true. Yeye hajui alitendalo, dunia inamuongoza wakati anapaswa aiongoze dunia. Wazazi wake na familia yake kwa ujumla wamechangia kumfikisha hapo alipo. Mungu amjaalie upeo wa kutambua ujinga anao ufanya.

Ushawahi kusikia malaya ameridhika akasema aliekutana nae amemtosha ??
Muulize bills anafanyaga biashara gani kwenye magari walinzi wakimlinda?

Back
Top Bottom