Kudadadeki, usupastaa ni unawapoteza watotot!!!!!!!!!!!

Mambo ya dunia ya sasa hayo. Hakuna haja ya kushangaa, yazoeleke tu. Utandawazi haubagui pahala, waache wajivinjar kwa raha zao. Kwani kuna shida gani jamani?
 
nchi hii ina vichaa wengi sana lakini degree ya uchizi kwa mastaa wetu ni ya juu sana..
 
asiposikia la mkuu atavunjika guu nadhani mpaka anaacha shule ashapewa wosia sana ilobaki ni ulimwengu kumfunza sasa katwishwa dunia kwa kilemba cha miiba na atakua fundisho kwa wengine wanaokua kama yeye
 
Back
Top Bottom