Kudadadeki, usupastaa ni unawapoteza watotot!!!!!!!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Lulu.JPG Lulu.JPG lulunyekundu.jpg Najua wale wepesi wanaweza kukimbilia kupiga pu..............
huyu mtoto ni mdogo lakini mambo yake ni makubwa

hahahahahaaaaaaaaaaaa,, kajitangaza kwenye magazeti eti yeye huwa hamshindwi yeyote
anasemekana kashatoka na midume iliyoshiba zaidi ya kumi,
mwenyewe kawakubali wawili.

kazi ni kwakooooo.........

Tokeni kule muacheni mtoto wa watu,ale maisha.mbona selena Gomez hamumsemi?

nakumbuka majuzi tu hapa wakati kanasoma na mdogo wangu shule ya msingi wakorea Remnant

mzee wake mshika dini lakini masikini wamekashindwa

Tokeni kule muacheni mtoto wa watu,ale maisha.mbona selena Gomez hamumsemi?
ushindwe, Tamaduni za kiafrica hazimruhusu mtoto mdogo kama huyu kuwa na kashfa mbaya kiasi hiyo.
NWY, so we unaona yuko sahihi?

kaaaaziii kweli kweli...huyo mtoto ni noumer aisee mwacheni kama alivo..yap she is so cute but anajiharibu maumbile ya ndani....

ushindwe, Tamaduni za kiafrica hazimruhusu mtoto mdogo kama huyu kuwa na kashfa mbaya kiasi hiyo.

NWY, so we unaona yuko sahihi?

Acha uongo tamaduni za kiafrica?mtu ana miaka 18 unasema mtoto?Haya anafanya sasa mpelekeni polisi.muacheni hayo ndo maisha yake.kwani anawaazima?

Tokeni kule muacheni mtoto wa watu,ale maisha.mbona selena Gomez hamumsemi?

wale wale,kasoro umri! Nadhani hata we umejua starehe ukubwani,ndo mana unamtetea.. Kwa mtu mwenye akili hawezi kuona matendo anayotenda huyo binti akafurahia..

View attachment 36525View attachment 36525View attachment 36526Najua wale wepesi wanaweza kukimbilia kupiga pu..............huyu mtoto ni mdogo lakini mambo yake ni makubwahahahahahaaaaaaaaaaaa,, kajitangaza kwenye magazeti eti yeye huwa hamshindwi yeyoteanasemekana kashatoka na midume iliyoshiba zaidi ya kumi,mwenyewe kawakubali wawili.kazi ni kwakooooo.........
huyu si mtoto ni gumegume! mi kiukweli simpendi kama njaa!! hawa magumegume dawa yao ni kuwahamisha mji kuwapeleka mbaaali kabisa na mji wakakae huko wasijekutuharibia vizazi vyetu vijavyo

huyu si mtoto ni gumegume! mi kiukweli simpendi kama njaa!! hawa magumegume dawa yao ni kuwahamisha mji kuwapeleka mbaaali kabisa na mji wakakae huko wasijekutuharibia vizazi vyetu vijavyo
masare kundesa.

Mwenyeezi Mungu amsameh na amfungulie macho na masikio na amrudishe kutoka kubaya na kurudi kwenye njia njema.

Ukimuona mwenzako au mwana wa mwenzako anapotelewa ni vyema ukamuombea mema, dunia hii hujui yatayokukuta wewe au wanao au nduguzo na majaribu ni mengi kwa sasa kuliko tulikotoka. New World Order inazidi kushamiri.

eeh,kamerudi tena haka katoto!!!!kichefuchefu kishapanda!!!kwani wengine hawapo jamani.....haka tushakachoka

Back
Top Bottom