Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,668
- 167,703
Inawezekana kabisa wanawake wanachepuka kuliko wanaume (am sure)Mimi huwa nawashangaa watu wanaosema wanawake hawachepuki kama wanaume.
Hehe kwa hiyo unatumia shield ya nyimbo za yesu kuchepuka eeh. Una la kujibu.