Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,804
- 95,630
Madai yake anafahamu fikra za mkewe! Kuchepuka tunachepuka, Kupika tunapika na huku tupo.Kishapata kimoja mchana, sahivi lazma awe home anapika, Mwanamke anachepuka kwa akili, mjanja kama panya anauma na kuuliza