Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Kama mie hata maji simchemshii kila siku kanisani na ibada za walokole zinavyochelewa tamthilia kwa sana nienda kulala ukutani kimya chai na mihogo kimya ili akome
Arudi huku huko auguzwe akipona arudi.
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Unatakiwa kufanyiwa maombi wewe pamoja na mumeo. Pepo la mauti linawawinda.Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo. Starehe ya muda inaweza kuwaletea maana wote wawili.

Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
 
jidanganyeni na mjipe matumaini hizoo tabia mziamishie nyumbani mkitengulia kiuno kwa kipiga msije kulia lia hapa
Mwanamke dakika 10 za sokoni zinamtosha kuinamishwa, na hivi siku hizi hatuvai vyupi ni kupandisha tu gauni..... Imo Imo Imo nduki home kupika mwepesiii kama karatasi ukinipuliza naanguka
 
Back
Top Bottom