Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Kuna mkaka alisemaga kitu humu ndani ambacho sintasahau kutuhusu, nakumbuka maneno yalikuwa kama hivi, "Wanawake ni emotionally intelligent and very resilient" na kuwa tuna extra sense ambayo hutufanya kugundua vitu haraka pasipo waume zetu kujua. Which is very true!
Sasa nyie vidume jitutumueni tu kuwa hatuwezi kushindana na nyie (Sawa) lakini you guys have no Idea what we're capable of doing. Tunaweza kuonekana wakimya, na wavumilivu kwenye upuuzi wenu laiti mngelijua, kumbe mtu anawachora tu na kuwalia timing, waiting for the perfect time to strike, and of course, we always do it quietly. 🙂

alafu usikute we ndio my wife wangu.. Unafikisha ujumbe Fulani kwangu kidizain!