Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Mi naamini kuna madada ambao wanajiheshimu,siyo wote wana hulka yakuchepuka kwani kuna kitu kinaitwa hormonal imbalance,mwanamke akiwa na testerone nyingi maranyingi ni vigumu sana kuhimili ashki zake hivyo wanawake wa hivyo wanashauriwa wawe na makazi kwaajili ya wanaume mbalimbali mfano madereva wa masafa,wanaume ambao wake zao wamejifungua hivi karibuni,wanaume ambao wameshindwa kutatua matatizo yao kwenye ndoa,wanaume ambao wako addicted na ununuzi wa wanawake n.k,kwahiyo unachosema yawezekana unaongelea wanawake wenye horminal imbalance.
Sasa mwalimu wa biology unataka watu wachizike na ugwadu?

Wewe kama mchepukaji utampata tu mchepukaji mwenzio. Hutaki usioe tu.
 
Kuna mkaka alisemaga kitu humu ndani ambacho sintasahau kutuhusu, nakumbuka maneno yalikuwa kama hivi, "Wanawake ni emotionally intelligent and very resilient" na kuwa tuna extra sense ambayo hutufanya kugundua vitu haraka pasipo waume zetu kujua. Which is very true!
Sasa nyie vidume jitutumueni tu kuwa hatuwezi kushindana na nyie (Sawa) lakini you guys have no Idea what we're capable of doing. Tunaweza kuonekana wakimya, na wavumilivu kwenye upuuzi wenu laiti mngelijua, kumbe mtu anawachora tu na kuwalia timing, waiting for the perfect time to counter attack, and of course, we always do it quietly. 🙂
Vita yetu sie taratiiiiiibu na akili mingi, si wanatuonaga mazezeta!! Utasikia hawa mwalimu wao kipofu, wakati wanasahau wao ndio walimu wetu.

Shhhhhhhh!! Usiwape siri mama wasijegutuka.
 
Nipo nyumbani naangalia cartoon, naona watoto wananiangalia halafu wanainama wanacheka. Kicheko chao sijakipenda, sijui wananijadili nini?
Wanakufurahia baba yao upo nao mida hii. Wenzako wako busy bar kwenye deals zao hawajui hata sura za watoto wao, inawezekana pia hata jina la shule wanayosoma au hata darasa wanalosoma hawajui!
 
Nipo nyumbani naangalia cartoon, naona watoto wananiangalia halafu wanainama wanacheka. Kicheko chao sijakipenda, sijui wananijadili nini?
Haaa si walishakula haina shida wanamuona mama ana furaha hana stress mie najilia matunda huku naendelea
 
Hihiiiiiii! usije ukanuia boxer bureeee nikaweka kambi alafu ukanisahaulisha somo lote hili la Mabeijing!
Msije mkabanduana kikweli kweli nyie! Hii mada ni ya kujenga maadili ya wanandoa!
.
.
Do Not Allow Nature To Take Its Place. Pls
 
Haha haaa. Ntakuja kuongeza uzoefu mpya ili kuboresha ndoa. Huko inaonekana yaliyomo yamo. Ila tumuheshimu maza house plizzz!
Uje uimarishe ndoa
Si mnasema mwanamke ni kama Chama cha siasa anahitaji upinzani ili aimarike.... Njoo baba mimi ni chadema
 
Back
Top Bottom