Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,638
Ha ha haaa nature na ichukue mkondo wake!Kwakweli huwezi kubishana na asili, mwanamke ukishikwa na ugwadu huku mume anakitembeza nawe kitembeze tu usishindane na nature.
Ha ha haaa nature na ichukue mkondo wake!Kwakweli huwezi kubishana na asili, mwanamke ukishikwa na ugwadu huku mume anakitembeza nawe kitembeze tu usishindane na nature.
Amen!ZERO ON PAPER TRANSLATES ZERO IN THE BRAIIIN!!! nasema ziiiiiro on paper translates ziiiiiro in the braaaain!!! Semaaaa eiiiimeni!!
Hapo unapooa mke wa pili na yeye katulia tu kusubiri dudu lako?yani wewe utakuwa na kadegree kamishe mishe. ni mchaga. mweupe.
ningekuwa mme wako ningebadilisha dini niwe muislam nioe mke wapili jeuri yako itaishia hapo.
Sawa mtumishiAmen!
Kupokea Mali sio kigezo cha kutesana bhanaUsitafute usawa kwa sababu wazazi wako walipokea Mali,wazazi wa mume wako hawakupokea mali
Vita kati ya hizi jinsia mbili haziwezi kuisha. Kwa mtazamo wako unaona tatizo ni sisi. Na sisi pia tunaona tatizo ni nyie. Hakuna namna sasa tuendelee na maisha haya haya!.chanzo ni nyie wanawake.
unatafuta mchawi wakati tunguri umezificha chini ya kitanda.
Naona na kabila umenibatiza kabisa.yani wewe utakuwa na kadegree kamishe mishe. ni mchaga. mweupe.
ningekuwa mme wako ningebadilisha dini niwe muislam nioe mke wapili jeuri yako itaishia hapo.
Alikua hajuiWew unamdhalilisha mumeo wakati anakuoa ulikuwa hujui kwamba anakibamia
Nimependa ulivyonojibu nilijua utatoa povu.ila Mimi kibiriti hakitanihusu.Bahati nzuri kiberiti ni cha wote, angalia usije ukatiwa wewe kiberiti kabla mkeo.
Ndio muombe sanaaa hilo balaa lisiwakute, maana watoto watamkosa mama yao. Piga goti sali san.
Sasa tunacheza muziki walioupiga wanakasirika tena!! Khaaah!! Hawa viumbe bwana!Sijui wanatumia vichwa gani kufikiri maana wana vichwa viwili. Ukute kichwa cha chini kina akili kukiko cha juu. Tatizo ndio hilo.
Wanaume tunawapenda sana nyie ndio VICHWA. Hii dunia mnaiendesha nyie..sisi tunafata upepo na hapa tulipo ni nyie ndio mmetuleta. Bado mna muda wa kuibadili dunia mnavyotaka. We are flexible tutakubali mazingira yoyote.
MmmmmNgoja arobaini yako ikifika utuletee mrejeshk
Naona na kabila umenibatiza kabisa.
Ndio sasa wewe sio mume wangu.
Kwakweli hatupaswi kupingana na nature.Ha ha haaa nature na ichukue mkondo wake!
Tena unashare na mke mwenza na michepuko pia!! Weeeh hiyo foleni nani anaisubiri kwamfano. Unachepuka tu.Hapo unapooa mke wa pili na yeye katulia tu kusubiri dudu lako?
Vita kati ya hizi jinsia mbili haziwezi kuisha. Kwa mtazamo wako unaona tatizo ni sisi. Na sisi pia tunaona tatizo ni nyie. Hakuna namna sasa tuendelee na maisha haya haya!.
Michepuko yenu tumeshaizoea ni wakati sasa mzoee yetu. Inachoma lkn mtafanyaje sasa! Hamna jinsi!
Tuvumiliane tu kwakweli. Na wawe na adabu sio wananza kutuchoma moto ala!!!!Vita kati ya hizi jinsia mbili haziwezi kuisha. Kwa mtazamo wako unaona tatizo ni sisi. Na sisi pia tunaona tatizo ni nyie. Hakuna namna sasa tuendelee na maisha haya haya!.
Michepuko yenu tumeshaizoea ni wakati sasa mzoee yetu. Inachoma lkn mtafanyaje sasa! Hamna jinsi!
Haitakiwi. Imagine zile hisia zimekubana halafu mzee hana time na wewe yupo busy na halima. Kinachofuata ni nature hakuna zaidi.Kwakweli hatupaswi kupingana na nature.
Hata nami namshukuru hajanipa mume mchoyo kama wewe, mume gani hutaki kula vizuri na wenzio!!!nashukuru Mungu kwa hiloo sijapata mke kama wewe.
