Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Msitafute visingizio, tutafukunyua tu.Utumie muda adimu wa ndoa yako kufurahia na familia yako badala ya kuhangaika na majibu na maswali ya wapita njia mitaani. Hata siku sms imekosewa namba inasema mwanao huku ananisumbua darling, inaweza kuwa ndio mwanzo wa kuporomoka kwa hiyo ndoa.
