Hakuna cha kurogeka kujiendekeza tu ukimshitakia kwao labda wazazi wenye busara ya juu baba kiwembe atamshauri nini mwanaye yy mwenyewe anamichepuko baba wadogo mpaka wanafumaniwa ushauri utoke wapi ukoo wa panya huo na ukute ndiyo ana vijisenti mambo yaishia juju tu mke unaonekana hamna kituMungu akusamehe. Inaonesha uliingia katika ndoa ungali na umri mdogo sana. Ndiyo maana hujui namna ya ku deal na changamoto za kwenye ndoa na hukucheza mechi nyingi za nje ukajua size mbalimbali za mitwangio. Sasa umekuwa mkubwa ndo unatafuta unatafuta chanzo cha kurukaruka nje. Kwanini usiombe talaka ukajiondokea uende kwa huyo bwana mpya uwe huru zaidi?. Fanya hivyo uone kama atakupokea na kama itapita muda bila mumeo kuoa tena. Tena mumeo kama ni muislam akiamua hata kuongeza wenzako watatu ataongeza. Ulichopaswa kukifanya ni kumuonya, mshitaki kwa wakwe zako au mshenga au mshauri wenu wa ndoa na asipojirudi unadai talaka yako. Hapo wewe ndo utaonekana umekosea zaidi kwasababu umelipiza kwa makusudi. Pengine mumeo huko nje kashakorogewa kitu hajitambui au pengine hata hachepuko, ni stress tuu za maisha haya ya Magufuli.
Our hubbys are too grateful for us[emoji13] [emoji13]Mungu anisaidie mke wangu asiwe mmoja wa Collabo yenu.
siku hz kasi ya ndoa kuvunjika imekua maradufu tofauti na zamani.. na pia kama ndoa zina stress kwann wa2 wanaoana?Watu wanaachana kila siku tangu enzi na enzi. Kumtaja barnaba ni kumuonea..bora yeye amerelax sasa hivi. No more stress!
Ingekuwa hivyo basi tungekuwa na raha sana hapa duniani.nyie tulieni bhana kazi yenu ni kuturidhisha,kuzaa, na kutunza watoto na kutuandalia tulete pesa nyumbani.
😀😀😀Yaani utoke kuchepuka harafu uje umenuna si utakua natatizo wewe? Harafu kazi yakukutoa mnuno awe mke heee!!! Mbona mwanamke akitoka kuchepuka anakuja na bashasha kwa mmewe hebu badilikeni nanyi bwana.
Unijie na manundu yako ya kufumaniwa, huyo mchepuko akuuguze hukohuko!!!
😀😀😀Leo mmekuwa watoto eeh!! Huyo nae mumewe hjatimiza majukumu ikabidi nae atafute faraja. Bakini na utoto wenu, siku mkikua ndio muoe.
Unadhani habari za ukimwi hazijui? Bora kupata ukimwi mwenyewe kuliko uletewe na mume au mke wako!Wee mshauri mwenzako agawe k, ila mkae mkijua kwamba mwanamke ana 80% ya kupata ukimwi wanaume 20% amwambie agawe hata kwa mbwa wa stend sio kwa wanaume tuu.
ahhaahhahaha UNAMZUNGUMZIA MWANAMKE WA KARNE IPI ANAYESUBIRI HELA YAKO?NA RIDHIKO NA KUZAA?nyie tulieni bhana kazi yenu ni kuturidhisha,kuzaa, na kutunza watoto na kutuandalia tulete pesa nyumbani.
Watachepuka na kina KAOGE MVUTOAfu wanavyong'ang'ania kuchepuka wao tu, hao wanaochepuka nao sio wanawake? Sasa wanawake wote tukiwa waaminifu watachepuka na kina nani?
Hata mimi nashangaa kwanini watu wanaoana!siku hz kasi ya ndoa kuvunjika imekua maradufu tofauti na zamani.. na pia kama ndoa zina stress kwann wa2 wanaoana?
KWA KUWA WAO WAKICHEPUKA WANACHEPUKIA MWIKO!Hamna sifa mbaya kama mwanamke kuchepuka bora mwanaume aisee
Hahaa wanavyopenda bar utadhani walizaliwa bar au walinyonyeshwa pombe
Yaani acha tu. Na maujinga yoote wanafundishana huko.
Ingekuwa hivyo basi tungekuwa na raha sana hapa duniani.
.
.
kuturidhisha hamturidhishi,
kuzaa wengine hamzai na mkizaa mnatelekeza, kutunza watoto ndio hovyo kabisa,PESA HAMLETI na mnazo. Ni shida kwa kweli!
yani UKAE TU UMEITANUA UNASUBIRI UKIMWI!Unadhani habari za ukimwi hazijui? Bora kupata ukimwi mwenyewe kuliko uletewe na mume au mke wako!
WANAANZA KUHADITHIANA UJINGA NA NAMNA WANAVOWEZA KUHAKIKISHA NDOA HAZIVUNJIKI KWA KUSINGIZIA WALIKAMATWA NA TRAFICKI WAPO SELO HALAFU BOYS WANAPIGA SIMU KWA WIFE!Ukiuliza anakwambia muhimu ku spend time with 'his boyz' na wakikutana wanakuwa 'boys' kweli.
Hongera kwa uamuzi huo batili. Kama unadhani umepata, umepatikana. Muda si mrefu utatambua wanaume ni walewale.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
kwa mkuno YA UZAZINI IPI MNAYOTEGEMEA MPATE KWA USENGEREMA MNAOFANYA!unakaa kama gogo la mparachichi muda huo ushakua bubu. unataka style kifo cha mende tuu. unataka kuridhishwaje katika toa miguno. uone utakavyo tembezewa dudu
kuzaa tunatekelekeza???? unategesha mimba kwa mtu ambae hakupendi unategemea nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni chizi.!!! Huyo kaoge sasa! Kweli anahitaji kuoga!Watachepuka na kina KAOGE MVUTO
AHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAHHAHHHA ona story za unyago na mikole zimeanza!Hongera kwa uamuzi huo batili. Kama unadhani umepata, umepatikana. Muda si mrefu utatambua wanaume ni walewale.
Huyo pia atakuchoka na matokeo yake utakuwa jamvi la wageni.
Ushauri, fanya yale yaliyomvuta mmeo mlivyoanza mapenzi hadi mkaoana. Tumia utundu wote kumrudisha mmeo kifuani kwako asibanduke kamwe.
Kumbuka nje ya ndoa kuna mme wa mtu au mme mtarajiwa. Ulivyoumia mmeo akichepuka ndivyo mke wa huyo anavyoumia. Omba Mola asikufahamu, utajuta.
Kama huyo mwanaume unachepuka naye sasa, hadi kudhani umefika peponi, jua kwamba anao wengine kama wewe.