Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

kwa comments za Evelyn Salt, demi, Heaven Sent, espy, nao, Nalendwa, mmoja wapo angekuwa ndio mke wangu saa hizi ningekuwa mochuari nakula kiyoyozi. Nimemchungulia Id yake hausiki
Me mume wangu anaijua ID yangu mbona. Ndo kwanza nimemkuta ananiombea mkewe nizidi kuwa amazing . Sisi kwetu ni mubashara tu kwa kweli
 
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
Amen. Na Uzidi kujisikia aibu na kwa Mungu pia
 
sawa shangazi halaf hawa wanaochepuka hivi kama mtoa mada kukamatwa hawachelewi ujue shangazi huyo kashanogewa na utamu mpaka ya mumewe anaona kibamia aisee tusifikie huko jaman mumeo ni mumeo awe na kibamia au mbilimbi usimdharau kiivyo ndio aliyekupenda mpaka kakuoa
Sasa shangazi ndio ashagundua kuwa kile ni kibamia utafanyaje sasa!!

Au hautaki mwenzio apate utamu, maana utamu wake uko busy kukitembeza hukooo, hataki hata kumpa mwenzie!! Au yeye kasahau kama huyo ni mkewe alomchagua mwenyewe?
 
Kitanda hakizai haramu. Tukiwawekea suu inakuwaajali tu kama ile ya moto mkuu. Kwahiyo mtuombee tu tusijewawekea sumu.

ulishawai kukutana na tukio la mwanaume kumuwekea mke wake au kuua kisa amepata mchepuko mwenye Kyuma inayobana?

sisi tunachepuka vizuri na jioni narudi kwa mke heshima zote. nikimla namwambia mama nanii kyuma inazidi kubana nakuongezeka utamu kumbe angejua.

lakini nyie vichwa maji mtaanza dharau mara kibamia mara hanisugui vizuri
 
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
 
Aa wap hakuna lolote zaidi yakujidhalilisha ajue wale anaosema kwamba wanajua hawawezu kutunza sili isipokuwa kila wanapolala nae lazima waseme kwa marfki
 
Sasa shangazi ndio ashagundua kuwa kile ni kibamia utafanyaje sasa!!

Au hautaki mwenzio apate utamu, maana utamu wake uko busy kukitembeza hukooo, hataki hata kumpa mwenzie!! Au yeye kasahau kama huyo ni mkewe alomchagua mwenyewe?
aahhahh shangazi basi acha nimuache apate utamu wake wa hogo la jangombe
 
ulishawai kukutana na tukio la mwanaume kumuwekea mke wake au kuua kisa amepata mchepuko mwenye Kyuma inayobana?

sisi tunachepuka vizuri na jioni narudi kwa mke heshima zote. nikimla namwambia mama nanii kyuma inazidi kubana nakuongezeka utamu kumbe angejua.

lakini nyie vichwa maji mtaanza dharau mara kibamia mara hanisugui vizuri
#Wapo#
Mmoja niliona star tv, mume na mchepuko wamempiga mke na kumnyonga. Sad
 
Daah hiyo jamii ipi unayoizungumzia, ndugu jua dunia imebadilika kila siku wanamwona mme anachepuka kuanzia ngazi ya familia hadi ya mtaa unafikiri mke akichepuka watashangaa nini?
Wewe unaongelea jamii labda ya watu wa magharibi kwasababu sidhani kama suala la mwanamke na mwanaume kuchukuliwa tofauti katika ufanyaji wa baadhi ya mambo katika jamii zetu hasa za kitanzania,limebadilika,mimi ni mmoja wa watu ambao nime-experience mwanamke anapofanya jambo la aibu hususani la uzinzi husemwa nakuitwa majina yote tofauti na mwanaume,all in all kushindana katika kufanya maovu siyo busara na ni hasara kuoa mwanamke au kuolewa na mume ambaye ukivunja kikombe yeye anavunja sahani,eti kisa anakomoa,huo ni ujinga na sidhani kama yanayoandikwa hapa na wadau hasa wanawake,yanaweza kutamkwa hadharani na jamii ikashindwa kumshangaa mtamkaji.
 
ulishawai kukutana na tukio la mwanaume kumuwekea mke wake au kuua kisa amepata mchepuko mwenye Kyuma inayobana?

sisi tunachepuka vizuri na jioni narudi kwa mke heshima zote. nikimla namwambia mama nanii kyuma inazidi kubana nakuongezeka utamu kumbe angejua.

lakini nyie vichwa maji mtaanza dharau mara kibamia mara hanisugui vizuri
Ndio nishaona walowaua wake zao baada ya kunogewa na michepuko, wengine hadi huua watoto.

Basi usijali nasi tumejifunza, tukichepuka hatutowaonyesha dharau, tutarudi wepesiii full tabasamu. Yaani na kimbilimbi chako unaambiwa una hogo hajapata ona humu duniani.
Nyie ndio vichwa bwana, akili kama hizi ndio safi kupeana.
 
eti Never acha mbwembwe kisa uko nyuma ya keyboard .

huo mshahara wa usecretary unafikiri utakutosha mwezi mzima?
Unaona ni mbwebwe lkn moyoni mwako ukweli unaujua. Mshahara wa secretary hautoshi kunifanya niishi? Kwani kwa mume zaidi ya tendo la ndoa napata nini? Chakula?
 
Sasa tunacheza muziki walioupiga wanakasirika tena!! Khaaah!! Hawa viumbe bwana!
Mimi mwenyewe nashindwa hata kuwaelewa umeamua kuchepuka sawa nimekuacha kua huru basi na mimi nitafute utamu uko nje wanakua wakali na kuleta hadithi za kutishana.
 
Back
Top Bottom