Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Mhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
Hongera zako dadaake, maana anamuita mumewe kibamia kwahiyo yeye karavati/bwawa wakati wanaoana na mume wake alikuwa size yake tena anamfaa saizi kawa kibamia kwanza hajielewi pili eti anajisifia kuchepuka siku akipata ukimwi aje tena humu ajisifie
 
mkianza kushindana na sisi mtawatesa mama zenu baada ya talaka.
Mama zetu wana maisha yao. tunawatesaje kwa mfano? Hatuendi kula bure..mama zetu tutaendelea kuwatunza. Maisha yataenda vzr sana na sitarudi kukaa nyumbani. Never!
 
Haitakiwi. Imagine zile hisia zimekubana halafu mzee hana time na wewe yupo busy na halima. Kinachofuata ni nature hakuna zaidi.
Unaweza jikuta unawehuka, say NO tu ugwadu, do yo self a favour go grab the tamuu out there.
 
Hata nami namshukuru hajanipa mume mchoyo kama wewe, mume gani hutaki kula vizuri na wenzio!!!

Na una hakika gani wako hachepuki? Au kwavile haujajua?
Alafu ukute mie ndio mkeo


huwezi kuwa yeye najua mwandiko wake.

mke wangu hana tabia hizoo anajitambua sio kama wewe.
 
Kwahiyo baada ya kuchepuka ndo akajua siku akijua thaman ya mume atajirekebisha
Ndio kajua utamu wa dyudyu sasa, yani anajipimia tu. Anaijua thamani yake ndio maana kaamua kumtafutia msaidizi ili wasigombane kila siku kisa kadudu kamoja.
 
Hatushindani, kwani nyie mnapotoka huwa mnashindana na sisi? Tunakwenda tu kupata mautamu then tunarudi.

Hiyo talaka tena vipi? Tuvumiliane tu jamani.



tatizo nyie akili zenu fupi hamuwezi kuchepuka mtatuletea watoto mkidanganywa kamuekee mume wako sumu hamfikirii mara mbili.
 
Mama zetu wana maisha yao. tunawatesaje kwa mfano? Hatuendi kula bure..mama zetu tutaendelea kuwatunza. Maisha yataenda vzr sana na sitarudi kukaa nyumbani. Never!



eti Never acha mbwembwe kisa uko nyuma ya keyboard .


huo mshahara wa usecretary unafikiri utakutosha mwezi mzima?
 
Shangazi hebu tulia kwanza, muache mwenzio apate utamu!! Unataka achizike kwa ugwadu!!!
sawa shangazi halaf hawa wanaochepuka hivi kama mtoa mada kukamatwa hawachelewi ujue shangazi huyo kashanogewa na utamu mpaka ya mumewe anaona kibamia aisee tusifikie huko jaman mumeo ni mumeo awe na kibamia au mbilimbi usimdharau kiivyo ndio aliyekupenda mpaka kakuoa
 
Back
Top Bottom