ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,682
- 16,249
Mimi sio muumini wa uchepukaji na napinga hilo suala,unachotakiwa ujue nikwamba bado jamii yetu haijakubali kuona ni jambo la kawaida mwanamke kuchepuka,kikubwa usishindane na mwanaume kihivyo badala yake tafuta suluhu,mimi hata suala lakusikia dada anaingia gesti huwa inaniuma lakini maumivu yake siyo kama nikiina kaka yangu akiingia gesti kufanya ushenzi.Hiyo mentality ya nani anajidhalilisha zaidi inatoka wapi kwamfano!! Kama ndio hivyo mbona huwa hamchepuki na wanaume wenzenu? Au nyie mnajisikia raha kuchepuka na anayedhalilika?
Mtulie tu kama mnavyotuliaga wanaume wenzenu wakichepuka na kuwapa namna nzuri, mpeni mtoa mada pia maujanja ili asidhalilike na isijulikane.