BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Siku hizi wanajiita "wake wasaidizi"Ukute mama Getu kavumilia miaka yote hiyo For the sake of her kids. Afu mtu anakuja kukuulia hao hao watoto, tena mtu hapo ushajiandaa mwanangu ataanza kunisaidia soon. Unaweza kupata kichaa aisee. Tatizo wanaume wenyewe wanachukuliaga cheating kama ku have fun tu unapita, kumbe michepuko ina targets zao kibao. Yani nikiona mwanaume anajisifia kuchepuka, natamani nimgonge nyundo sijui mtcheeeew
. Tena ukimaliza ku-flirt unakimbia kwa wife unacheza nae rede huku ukikumbuka ile flirting na