swadaktaUsitafute usawa kwa sababu wazazi wako walipokea Mali,wazazi wa mume wako hawakupokea mali
Amina, kiwi isije kukuuaAcha tu, nnavopenda kadudu nikinyimwa miezi tisa nitakonda, uuuh namuombea tu husband afya yani azeeke na nguvu za kunipa hata viwili.... Amina 😀

Na tukiwaambia wanasema tu "wanawake kwa kuamini ushirikina", wananikera mimi hawa. Afu bora hata warogwe wenyewe huko walishwe vinyama vya K, michepuko mingine inaroga mkeo na watoto wapotee kabisa, yeye ndo ajitawale. Shindwaaa pepo mchafuDuh pole sana, hilo swala la kulogwa hapo Koh wanaume wanafanyiwa sana huko
Yani unafanya kazi ya kuichungulia tu ndani ya boxer khaaaInasikitisha sana kwa kweli, mtu unakuwa kama hujaolewa bana..!
Aah kupenda gani matusi huko, afu siku akija kukupa anakuambukiza juuImagine the guy was burning but still!
Kha!, hata kama mtu anapenda matusi jamani, that's too much!!!
Kazi yao tu "Mtuombee" as if maombi ya vita ni sawa na kula ugali. Wewe mtu mwenzio anatoa makafara na masadaka kumdhibiti mumeo, wanahisi hadi tufanikiwe kuwarudisha ni rahisiiii. Kuna mianamke mishirikina jamani ptuuuuuNini kurogwa....
Wakienda huko mara wachomewe chumvi.....
Hawajakaa sawa wakanyagiwe shahawa....
Kabla hawajageuka mwiko utapigwa mahali
Akitaka kunyanyuka kuna mtu anamfanyia ya maji
Asipumue vizuri chupi zitanuiziwa
Hata kuhema hawezi team vitambaa watavifunga na kufunika kwenye ndoaa na mabeseni
Kabla hajapiga kelele watamfunika na ungo
Wataacha kuchanganyikiwa? Yote ni gharama ya umalaya wanaojisifia kuona ni ushujaa... wangetulia na wake zao yasingewapata zaidi wangeombewa mafanikio tu.....mwendo wa novena
Mkuu ile ya jamaa sijaiona, wamesambaza ya huyu dada tu. Ukipata ya jamaa lete ili tubaansi story.Huyu alichepuka peke yake? Unaendeleza yale yale tuliyokuwa tunayapinga! Weka na picha ya mzinzi mwenzake!
Teh afu ukute huo mchepuko unajisifu oooh me kwetu Tanga, nikimshika mwanaume hachomoki. Sasa atachomokaje kwa ulozi anaomfanyia mwenzie?, maufundi pekee hayatoshi teh. Asije tu akamroga mke mkubwa, maanaKuna jamaa yeye ana mchepuko binti wa kitanga, yani siku akitoka kuonana tu na mchepuko huo ugomvi sasa nyumbani ni wa kuzima na kikosi cha zima moto, hata wife kishagundua hilo
Afu ukimuona sasa jamaa na mchepuko wake unaweza Dhani ni jamaa na mganga wake kumbe mchepuko teh teh teh halo ya simba mla kitimoto
Yamekukuta nn mamaNa tukiwaambia wanasema tu "wanawake kwa kuamini ushirikina", wananikera mimi hawa. Afu bora hata warogwe wenyewe huko walishwe vinyama vya K, michepuko mingine inaroga mkeo na watoto wapotee kabisa, yeye ndo ajitawale. Shindwaaa pepo mchafu