Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Namwambia mleta uzi huu anayesifia kuchepuka, siku moja atachomwa duduNi esoma hii!!!
Namwambia mleta uzi huu anayesifia kuchepuka, siku moja atachomwa duduNi esoma hii!!!
Yaani asije akajikuta nae anajadiliwa JFNamwambia mleta uzi huu anayesifia kuchepuka, siku moja atachomwa dudu
Huku dd waziYaani asije akajikuta nae anajadiliwa JF
Ukikua utaacha.
Kuna kitu kinaitwa mipaka, ukishoa/kuolewa lazima uitambue mipaka yako.
Sio ndio busyyyy flirting, safari moja huanzisha nyingine, mwisho utaanza kumsingizia shetani na kutaka uombewe.
Ukioa, punguza ama acha kabisaaaa hayo yanayokufanya uhofie simu yako kushikwa na mkeo. Be a MAN. Sio umeoa ila una_act like MBA.
na kwake pia...kila mtu akisema la kwake hapa unadhai patakalika humu...watu wna matatizo usituone tuko 24/7 humu JFMhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
yyaah hilo ndo tunaloweza kumwambia kwa sasa...ila sijui alitumwa na nani kuwahi ndoa..watu wengne bwanah ..kwani uliambiwa lazima kuolewaaa??Raha sana aiseee!!
Umepanga final results lakini?
Jipe raha mkuu, hakuna wa kukupangia maisha
kuna yule anayefanya jambo kwa kutegemea wengne watampa sifa ...sasa wacha tumnyongelee mbali...ndo yaleyale unajua mimi nimekaa sanah jela ..utadhani jela ni sifa ...mwache tumnyoosheNimeshitushwa na Maneno yako! Wenzako wanachepuka wakiwa kwenye mahusiano na sio ndoa. Wacha nikukumbushe jambo, Ndoa ni kiapo kwa Mungu na uliapa mbele ya ndugu jamaa na wazazi wenu ukifanyacho leo kitaondoa baraka zote ndan ya nyumba yenu. Nendeni mkatubu!
Miezi 9!!! Yumo humo humo ndani!! Si umbake.
Mfungo kitu gani nishaona m y u kafumaniwa kipindi cha mfungo mke anadanganywa napoteza muda ili ifike daku kumbe kaenda kugegeda siku alipofumwa sizani hata huo mfungo kama aliendelea ningekuwa mie hata futari nisinge mpikia tena inya yake mbichi, na yule alienda fia guest siku ya idd tena juu ya kifua cha mwanamke hakuna lolote Mungu anasingiziwa mpaka shetani anashangaaMkuu, mfungo unakaribia. Hii post itakuwa inaharibu swaumu yetu. Hakyanani I can't imagine...., I just want her to be mine, nooooo sharing !!!
Interesting...una mvua boxer kwa nguvu?
Yani nimechekaaa
Jamani achaa tu ni vile kile kitu kufanya atake mwanaume apatee erection, sijui walimroga chaa, almanusra tuzichape kisa kumvua boksa kinguvuu hehe jmn..nilikua nalia hatari, stress, mwili mzitooo
Kw bahati nkapata safari,Usiombe ktk hali km hii umpate mtu mnafungiana ndani siku 3 nzima anakupunguzia stress...I really needed it..mtu unarudi mwepesiii and happy again
Maisha hayaa...
Sasa best miezi 9 yeye alikuwa anawaza nini, hata kulishwa limbwa hilo kali ni la inya kabisa mtu kama huyo ukicheat akulaumu jamani si ipunguani huo unachepuka kwanza unamaliza stress kisha unaenda kwa kiongozi wenu wa dini wamuulize kama yupo timamu au dishi limeyumbaUsiombe yakukute,nilielewa watu wanaobaka for a short moment, ukame wa miez 9 jmn,almost lost my mind
Usiseme hivyo wanawake wanavumilia sana wiki 2mwezi mambo yakawaida nikuomba Mungu wakati mwingine unamwambia Mungu kwa hili samehe kabla hujalifanya wanaume Mungu anawaonaHata hivo una moyo miezi tisa???
Mi wiki tu ikiisha asee hali ya hewa lazma ichange
Pole sana tupe mauzoefu ulitoka vipi!!! Ndoa hivi halafu hapo mke analaumiwa kwa uzinziItakua kuna mtu alimroga sio bure, mume unamtega hategekiiiii....unavaa ovyo ovyo tu aitamanii wapiiii,unamuomba anapiga chenga,mara anaumwa sijui kidudu kinawasha mara kinatoa nini sijui ktk kuchepuka mtu kampa STDs ss inabd usubiri tu apone,miezi 2 inakatika unavumilia,kosa dogo anakupa mgongo wiki nzima, simu hapokei,anachelewa kurudi,.. Aisee sijui nilitoa wapi zile nguvu za kuwait 9 months, ila ndo nilikua na hasira sanaa cz of stress na ye nilikua namsemaaa namjibu mbovuu hatari hata hio appetite inamuishia naona..