Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Jamani achaa tu ni vile kile kitu kufanya atake mwanaume apatee erection, sijui walimroga chaa, almanusra tuzichape kisa kumvua boksa kinguvuu hehe jmn..nilikua nalia hatari, stress, mwili mzitooo
Kw bahati nkapata safari,Usiombe ktk hali km hii umpate mtu mnafungiana ndani siku 3 nzima anakupunguzia stress...I really needed it..mtu unarudi mwepesiii and happy again
Maisha hayaa...
Kashangaa umerudi mwepesiiiiiiiiiiii

Halafu walaaah huhangaiki kumvua boksa

Abane tu dushe yake hadi iliwe na nyenyere....
 
Utamu baba utamu

Kama humpi mkeo utamu hata umjengee strongroom na ujaze madolari watakupigia tu...

Kama una wanawake chungunzima mkeo akakuonya weeeeeeeee ujue watakupigia tu
Ninachojua bibi na mama zenu mlio wengi walikuwa full house wives. Hawakuijua saloon, vikuku, kuongeza urefu wa kucha, nadhani hata mayai hawakula wakati wa uja uzito! Hapo babu zenu walilelewa na hao bibi zenu kama wafalme, bread winners. Sasa hawa wa kileo, mshahara kamzidi mmewe, bado anataka saloon apelekwe, gari anunuliwe, atafutiwe binti wa kazi, na maamuzi ya nyumbani ayafanye yeye! Ndoa nadra siku hizi, watu wanaishi pamoja!
 
Ukikua utaacha.

Kuna kitu kinaitwa mipaka, ukishoa/kuolewa lazima uitambue mipaka yako.
Sio ndio busyyyy flirting, safari moja huanzisha nyingine, mwisho utaanza kumsingizia shetani na kutaka uombewe.

Ukioa, punguza ama acha kabisaaaa hayo yanayokufanya uhofie simu yako kushikwa na mkeo. Be a MAN. Sio umeoa ila una_act like MBA.
Mkuu flirting ilovyo tamu, daaah hako ni kaugonjwa tena kanaambukiza . Tena ukimaliza ku-flirt unakimbia kwa wife unacheza nae rede huku ukikumbuka ile flirting na espy.

Vijana endeleeni ku-flirt, kwanza wadada wanalika kirahisi ukianza ku-flirt nao.
 
Wakati tunaendelea kupongezana kuhusu cheating, wale wanaoamini katika kuombea marehemu apunguziwe adhabu wasimsahau huyu mrembo, pretty lady daaah!!
991113102e459e54d906d52abd98aff1.jpg
 
Kuchepuka raha sana maana ukiendelea kukaa kwenye njia kuu ni shida.hata daladala huwa znachepuka kuepuka mengi kama foleni na trafik.hivyo mmeo nae alikua amekuwekea kafoleni kadogo big up sana kwa kuchepuka.
 
Itakua kuna mtu alimroga sio bure, mume unamtega hategekiiiii....unavaa ovyo ovyo tu aitamanii wapiiii,unamuomba anapiga chenga,mara anaumwa sijui kidudu kinawasha mara kinatoa nini sijui ktk kuchepuka mtu kampa STDs ss inabd usubiri tu apone,miezi 2 inakatika unavumilia,kosa dogo anakupa mgongo wiki nzima, simu hapokei,anachelewa kurudi,.. Aisee sijui nilitoa wapi zile nguvu za kuwait 9 months, ila ndo nilikua na hasira sanaa cz of stress na ye nilikua namsemaaa namjibu mbovuu hatari hata hio appetite inamuishia naona..
Duh pole sana, hilo swala la kulogwa hapo Koh wanaume wanafanyiwa sana huko
 
Uwiii!, wewe dada jamani Mungu Akulipie!
OMG!, mpaka akapatwa na nini?!!
Asee!, nilifikiri nina uvumilivu lakini sijafikia wa kwako. Girl Mungu Akulipie kwa kweli!
 
Duh pole sana, hilo swala la kulogwa hapo Koh wanaume wanafanyiwa sana huko
Nini kurogwa....

Wakienda huko mara wachomewe chumvi.....

Hawajakaa sawa wakanyagiwe shahawa....

Kabla hawajageuka mwiko utapigwa mahali

Akitaka kunyanyuka kuna mtu anamfanyia ya maji

Asipumue vizuri chupi zitanuiziwa

Hata kuhema hawezi team vitambaa watavifunga na kufunika kwenye ndoaa na mabeseni

Kabla hajapiga kelele watamfunika na ungo

Wataacha kuchanganyikiwa? Yote ni gharama ya umalaya wanaojisifia kuona ni ushujaa... wangetulia na wake zao yasingewapata zaidi wangeombewa mafanikio tu.....mwendo wa novena
 
Wakati tunaendelea kupongezana kuhusu cheating, wale wanaoamini katika kuombea marehemu apunguziwe adhabu wasimsahau huyu mrembo, pretty lady daaah!!
991113102e459e54d906d52abd98aff1.jpg
Huyu alichepuka peke yake? Unaendeleza yale yale tuliyokuwa tunayapinga! Weka na picha ya mzinzi mwenzake!
 
Kabla ya kuoana hukuona hicho kibamia? Hapo ndo wanawake tunapokosea. Kuchepuka si suluhisho mamii unachochea uharibifu zaidi kwenye ndoa yako
 
Nini kurogwa....

Wakienda huko mara wachomewe chumvi.....

Hawajakaa sawa wakanyagiwe shahawa....

Kabla hawajageuka mwiko utapigwa mahali

Akitaka kunyanyuka kuna mtu anamfanyia ya maji

Asipumue vizuri chupi zitanuiziwa

Hata kuhema hawezi team vitambaa watavifunga na kufunika kwenye ndoaa na mabeseni

Kabla hajapiga kelele watamfunika na ungo

Wataacha kuchanganyikiwa? Yote ni gharama ya umalaya wanaojisifia kuona ni ushujaa... wangetulia na wake zao yasingewapata zaidi wangeombewa mafanikio tu.....mwendo wa novena
Kuna jamaa yeye ana mchepuko binti wa kitanga, yani siku akitoka kuonana tu na mchepuko huo ugomvi sasa nyumbani ni wa kuzima na kikosi cha zima moto, hata wife kishagundua hilo
Afu ukimuona sasa jamaa na mchepuko wake unaweza Dhani ni jamaa na mganga wake kumbe mchepuko teh teh teh halo ya simba mla kitimoto
 
Back
Top Bottom