Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Wanaume wanachepuka lakini hawazifananishi kwa ubora nyapu ya mke na nyapu ya mchepuko. Huko aliko eenda ameenda kuiscan akili yake ili ajue kosa liko wapi, hatakiwi kutukana maana mwisho wa siku anarudi kwenye Kibamia.
 
Mh, unadhani hapo ndo umetatua tatizo, damn shit!
 
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
🙂🙂
 
Kupitia Mada hii nimejifunza Vitu vingi sana,..

  1. Wanawake hawapendani kabisa, Badala ya Kumshauri na kumwambia huo haukuwa uamzi sahihi lakini matokeo yake wanamsifia na kusema kuwa Bora awamkomeshe
  2. Wanawake wamekuwa wepesi wakumsifia wakiwalaumu wanaume kuwa kumbe wanaumia wakilipiziwa lakini wameshindwa kuelewa kuwa Mtoa Mada ana msongo wa Mawazo Makubwa ana Pashwa kushauriwa sana. Mojawapo ya Dalili wa Msongo alionao Mtoa Mada ni Pale alipoanza kukashifu Maumbile ya huyo Mume wake na kuanza kumsifia huo Mwizi.
  3. Katika Mada zote ambazo Nimewahi kuzisoma na ukweli ni Kwamba siku hizi 50% wote wanachepuka lakini Ukichepuka kwa Kumkashifu uliyemtendea basi hata huyo uliyenaye Umeshamkosa.
  4. Kingine ni Kweli Walio wengi wanamsikitikia huyo Mchepukaji kwa Kuwa badala ya kutafuta nini kimepelekea Mumewe kubadilika yeye ameamua kutibu Kidonda kwa Kujichoma na kuwa na Vidionda Viwili sasa hajui anatibu kipi na anacha kipi.

Naendelea kujifunza
 
Nadhani umefurahia tendo la ndoa si kwamba huyo mwanaume mpya anajua kufanya mapenzi no but ni vile upo na simanzi ukipata jawabu sahihi utarudi kwa mumeo, hujiulizi kwanini kabla ya malumbano na mumeo ulikuwa unafurahia mapenzi na mumeo? Nway kila lakher katika mahusiano ya memory card
Mahusiano ya memory card????!!!
Kwa kweliiii
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.

Hihi text inaonyesha hauna raha wala amani! Kila la kheri ila anguko lako laja.
 
Hahahah... Afu mm sielewag kwann wanaume wanapenda kugeuzia wenzao makosa
Kwani kati ya anayetema na anayetemewa nani huona kinyaa.

Ukipata jibu hapo utaelewa ni kwanini tunawageuzia kibao.

Pia tafakari hili:
Cheti cha ndoa kitowacho ST (Serikali ya Tanzania) kina option mbili za ndoa.
1. Ndoa ya Mke mmoja
2. Huenda ikawa/ndoa ya wake wengi.

Hakuna option ya waume wengi

Pia,
  1. Jamii inatambua mwanamke akitembea na mke na mme wa mtu au hata mwanaume asiyeoa kabla ya ndoa au baada ataitwa malaya.
  2. Lakin jamii inamtambua kama mjanja, mkali na shapu kijana wa kiume au mwanaume aliyepo kwenye ndoa anapokuwa na mademu wengi.
  3. Dunia kote dunia inawanyoshea vidole wanawake wanaojiuza lakini wateja wanahesabika wana kisu kikali cha kukata watoto wazuri.
  4. Mke akitoka ndani ya ndoa na kuzini anaitwa malaya, lakini mwanaume ataitwa mchepukaji na demu anayechepuka nae ni mchepuko.
 
Tatizo umekariri. Na hizo sheria zako zimewekwa na wanaume ili kukandamiza wanawake na kujustify upumbavu wao. We don't buy that shit anymore!
 
Kupitia Mada hii nimejifunza Vitu vingi sana,..

  1. Wanawake hawapendani kabisa, Badala ya Kumshauri na kumwambia huo haukuwa uamzi sahihi lakini matokeo yake wanamsifia na kusema kuwa Bora awamkomeshe
  2. Wanawake wamekuwa wepesi wakumsifia wakiwalaumu wanaume kuwa kumbe wanaumia wakilipiziwa lakini wameshindwa kuelewa kuwa Mtoa Mada ana msongo wa Mawazo Makubwa ana Pashwa kushauriwa sana. Mojawapo ya Dalili wa Msongo alionao Mtoa Mada ni Pale alipoanza kukashifu Maumbile ya huyo Mume wake na kuanza kumsifia huo Mwizi.
  3. Katika Mada zote ambazo Nimewahi kuzisoma na ukweli ni Kwamba siku hizi 50% wote wanachepuka lakini Ukichepuka kwa Kumkashifu uliyemtendea basi hata huyo uliyenaye Umeshamkosa.
  4. Kingine ni Kweli Walio wengi wanamsikitikia huyo Mchepukaji kwa Kuwa badala ya kutafuta nini kimepelekea Mumewe kubadilika yeye ameamua kutibu Kidonda kwa Kujichoma na kuwa na Vidionda Viwili sasa hajui anatibu kipi na anacha kipi.

Naendelea kujifunza

Ndugu mbona hata wanaume wakichepuka wanasifiana sana au na wenyewe hawapendani? Hapa wanawake wangemlaumu bado ungesema wanawake hawapendani
 
Tatizo umekariri. Na hizo sheria zako zimewekwa na wanaume ili kukandamiza wanawake na kujustify upumbavu wao. We don't buy that shit anymore!

Sijakariri that is a practice na ni nature... do whatever you can lakini nature itabaki, mwisho wa siku wanaume watakutumia, kukutemea kisha wanaku-damp.

Lets go, provided you dont buy that shit .....Tehe teheee
 
Et kibamia mwanmke jiheshimu maumbile ya mumeo kuyaweka adharan unajiabisha ww kama unachepuka chepuka kimya kimya my dia usimdhalilishe mume wako ila kua makin maisha ya mashindano hua yanamwisho
 
Back
Top Bottom