FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Mkuu unataka nioe wake za kaka zangu??Oa mmoja kati ya hao waulizaji, au haujui kusoma alama za nyakati?
Mkuu unataka nioe wake za kaka zangu??Oa mmoja kati ya hao waulizaji, au haujui kusoma alama za nyakati?
Hehhe kuna ile mwanaume anakukomalia umkubali unamjibu bwn me mke wa mtu,na yeye na mimi mme wa mtu tukubaliane basii Hehhe aibuuu

Gonga ugongewe!Hongera,kweli jaza ujazwe
Enzi zake za ujana inaonekana alikuwa machachali sana huyu mzee..Yaani mie alishanishinda tabia tangu atuhesabie mashine za kusaga na gereji kuwa ni viwanda!!
Ukionyesha dalili za wizi itapekuliwa tu.Siofii simu kushikwa sababu ya hivyo vitu.. Ila ni vile sipendi kushika simu ya mtu mwingine basi nami naprefer yangu isishikwe.. I mean ukitaka kuishika basi angalau niombe na nitakuruhusu kiroho safi.
Wakati wote simu zangu sihangaiki kuweka pattern wala password lakini eti niko naoga huku nyumba mtu anaanza kuipekua kila mahali I wouldn't love that. Kama unaona naenda kuoga na unataka kuipekua basi niombe, sio unafanya kama vile unatafuta unafukuza mwizi..
Bora kama unaelewa kaka,nishawahi kaa miezi 9 deshiii mume ananizungusha tuu michepuko kibaoo,mara nimechoka mara sijui naumwa nini mara sijui ushuzi gani... Ny*** zake..sipigizani kelele na mtu anymore wala kuulizia kidude... Mpaka mke anacheat mume jitafakari sanaKORBOTO Nakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa lakini lazima tuukiri Ukweli kuwa Wake zetu sio malaika ni wanadamu. Tunapowakosea na kuwapuuza puuza kuwa hakuna wanachoweza Fanya ina madhara sana.
Wake zetu wanahitaji zaidi ya financial support ili kuwanya wafurahie mahusiano. Naamini asilimia kubwa ya Wanawake wanacheat huwa sisi Wanaume ndio tumechangia kwa sehemu kubwa wao kufanya hivyo.
Hizi story za "vibamia" sijui vidudu ni mbwembwe na hasira zao kwetu tu hawa wanakojozwa hata na kidole cha mwishwo kile kidogo. Ila tubadilike jamani... Ooooh otherwise tutagongewa sana tu. Mimi humu kunanisaidia sana kuwaelewa wanawake yaani kila siku nakuwa bora zaidi ya Jana kwa my wife wangu.
Ooooh my bad!!Mkuu unataka nioe wake za kaka zangu??
Mpaka naogopa,kumbe napogonga nagongewa ila poa hakuna namna,muhim akumbuke kinga kwani hata hivyo sikuikuta ina lock.Gonga ugongewe!
Subuhanallah yaan mtu wajisifia uzinzi mbele ya kadamnasi eeeee mmmh nimekushindwa tabiaToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Miezi 9!!! Yumo humo humo ndani!! Si umbake.Bora kama unaelewa kaka,nishawahi kaa miezi 9 deshiii mume ananizungusha tuu michepuko kibaoo,mara nimechoka mara sijui naumwa nini mara sijui ushuzi gani... Ny*** zake..sipigizani kelele na mtu anymore wala kuulizia kidude... Mpaka mke anacheat mume jitafakari sana
Unamheshimu mtu ila inafikia hatua it's too much
Naam, akiisha oa anapeleka group sms kuwaalifu kuwa ameoa na simu haina password na mother house ana full access. Japo mitaani huwa wapo wapandisha presha, wakijua tu lazima wapandishe presha ya mke hasa wakijua ni mtu wa kupanick. Ushauri wangu, achana na simu ya mkeo na achana na simu ya mmeo.Ukikua utaacha.
Kuna kitu kinaitwa mipaka, ukishoa/kuolewa lazima uitambue mipaka yako.
Sio ndio busyyyy flirting, safari moja huanzisha nyingine, mwisho utaanza kumsingizia shetani na kutaka uombewe.
Ukioa, punguza ama acha kabisaaaa hayo yanayokufanya uhofie simu yako kushikwa na mkeo. Be a MAN. Sio umeoa ila una_act like MBA.
Miezi tisa tu ukapigisha kitu nje...aaaah we bidada mfungo unaanza ujuweBora kama unaelewa kaka,nishawahi kaa miezi 9 deshiii mume ananizungusha tuu michepuko kibaoo,mara nimechoka mara sijui naumwa nini mara sijui ushuzi gani... Ny*** zake..sipigizani kelele na mtu anymore wala kuulizia kidude... Mpaka mke anacheat mume jitafakari sana
Unamheshimu mtu ila inafikia hatua it's too much

Nitafanya hivyo boss..Ooooh my bad!!
Hebu nawe uoe huko usiwachoshe shemeji zako.
Leo wanaume povuuu mbona jingii...Sijakariri that is a practice na ni nature... do whatever you can lakini nature itabaki, mwisho wa siku wanaume watakutumia, kukutemea kisha wanaku-damp.
Lets go, provided you dont buy that shit .....Tehe teheee
Jamani achaa tu ni vile kile kitu kufanya atake mwanaume apatee erection, sijui walimroga chaa, almanusra tuzichape kisa kumvua boksa kinguvuu hehe jmn..nilikua nalia hatari, stress, mwili mzitoooMiezi 9!!! Yumo humo humo ndani!! Si umbake.
PoleToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Miezi tisa hupati kadudu 😀😀😀Bora kama unaelewa kaka,nishawahi kaa miezi 9 deshiii mume ananizungusha tuu michepuko kibaoo,mara nimechoka mara sijui naumwa nini mara sijui ushuzi gani... Ny*** zake..sipigizani kelele na mtu anymore wala kuulizia kidude... Mpaka mke anacheat mume jitafakari sana
Unamheshimu mtu ila inafikia hatua it's too much
Ninachojua bibi na mama zenu mlio wengi walikuwa full house wives. Hawakuijua saloon, vikuku, kuongeza urefu wa kucha, nadhani hata mayai hawakula wakati wa uja uzito! Hapo babu zenu walilelewa na hao bibi zenu kama wafalme, bread winners. Sasa hawa wa kileo, mshahara kamzidi mmewe, bado anataka saloon apelekwe, gari anunuliwe, atafutiwe binti wa kazi, na maamuzi ya nyumbani ayafanye yeye! Ndoa nadra siku hizi, watu wanaishi pamoja!Wakaoe bibi zao watupunguzie bugudha.
Interesting...una mvua boxer kwa nguvu?Jamani achaa tu ni vile kile kitu kufanya atake mwanaume apatee erection, sijui walimroga chaa, almanusra tuzichape kisa kumvua boksa kinguvuu hehe jmn..nilikua nalia hatari, stress, mwili mzitooo
Kw bahati nkapata safari,Usiombe ktk hali km hii umpate mtu mnafungiana ndani siku 3 nzima anakupunguzia stress...I really needed it..mtu unarudi mwepesiii and happy again
Maisha hayaa...
9 michache??,how many can pull it offMiezi tisa tu ukapigisha kitu nje...aaaah we bidada mfungo unaanza ujuwe![]()
![]()