Kweli kabisa ,ukiona mwanamke amechepuka ujue yamemfika,Mimi nilikuwa mwaminifu sana na ninampenda mno Mme Wang ila kila akitoka masomo yuko mkoa mwingne anaweza kaa miezi 3 hata 4 namvulia cku akirudi hana mda anakwambia nmechoka ilifikia hatua akirud nalilia mapenz kutokana na ile hamu ya kumvumilia lkn hakujali hisia zangu ,yan Mimi ndo nashida ya mapenz yeye wala nilivulia sana sababu nilikuwa na hofu na mungu na upendo nilionao kwa Mume ilifikia mda nikachoka,nikaamua kuwa na mchepuko kiukwel hata simu zake niliona kero akipiga,akisema kakata ticket anarud nikamjibu hata usiporud in shot nilikuwa najikuta namjibu ovyo siku alipoingia ndan ndo kwanza sins hata habar nae na mgongo nikampa kitu ambacho alikiona kigen kazoea akirud nalilia dudu ndo nipewe kwa kutoa machoz nilimjibu nko vizr hivyo apumzike, kiukwel nilinogewa nje na aliniambia nmebadilika nikamjibu kwa jeuri umenibadilisha wewe,alikir makosa sababu alijua mkewe hayuko ivo na toka hapo hakuweza nisumbua aliongeza mapenz na upendo na ndo alizid nipagawisha zaid, kwa kuwa ckupenda kuchepuka na amejutia kosa nikaongea na mchepuko narud kwa ndoa yng na mpaka Leo nko vzr na ndoa yang,niseme tu wanaume sio wote mnajisahau sasa ukiona make nae haelewek ndo unastuka jaribun kurud kwa mstar ,hii inafanya weng wenu kulea watoto wasio WA kwenu kwa mambo km hayo