Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Ukiona Mke kachepuka jua mume ndiyo chanzo.

Baba ni kichwa cha familia mjali na uonyeshe upendo kwa mkeo na watoto, timiza majukumu yako vizuri na usiendekeze michepuko. Hicho ndiyo kikubwa tunachotaka.
Wanataka wao wachepuke waje na visiran vyao watuletee na genye tu baki nazo pyeee
 
Tubunu kwa mola wenu mupate salama.acha kabisa zinaa ni uchafu..munajitengenezea matatizo kwa nguvu zote tena kwa gharama.
 
Hivi mtu unaanzaje kuchepuka kwa mwenza wako uliyeahidi mtaishi kwa shida na raha? Sijawah kufikiria kuchepuka nikija kuolewa hata mume wangu akichepuka nitamuombea na kumsemea kwa Mungu ambadilishe.Go for deliverance my sister msamehe na muombee kwa Mungu.Ukiona habadiliki fast and pray..kama akigomaaaaaaaaaaa then divorce (last option and not so gud)...Japo pray for him don't revenge, anaweza akacheat lakn he should be very careful usigundue na yeye ajitahd akupe haki yako ya ndoa sawasawa ili usijiskie vibaya.
 
Zikija mada za wanaume kuchepuka wanafurahi kweli kweli hadi kupeana mbinu za kuchepuka bila kukamatwa! Ndiyo wajue hizo mbinu wake zao majumbani nao wanazitumia
Tena tunatumia with intensive careful hawajui
 
Teh teh wanaume wa jf wanafiki sana. Hapa ingekuwa ni mwanaume kapost basi angepongezwa vya kutosha. Angesifiwa kwa kuvuta kitu, wengine wangesema safi sana ndio dawa yao.
.
.
Chepuka tu bidada. K ni yako, ndoa ni yako! Life is too short!
Just be careful!
K cio yake weye, ishalipiwa iyo kama anabisha afanye mwenyewe akiwepo aone kama ni ya kwake
 
Hahaha!, eti you don't want a suprise.
Suprises sio nzuri. Kumbuka unafunga pingu za maisha, hutakiwi kutamani mwanaume mwingine. Usipotest ukakutana na kibamia na wewe unapendelea mtarimbo imekula kwako.
.
.
Accept kibamia at your own risk!
 
Back
Top Bottom