Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

My dear huo uvumilivu wa namna hiyo tuwachie bibi zetu lo!!! wanawake watano hao ndo kazaa nao je ambao hawakuzaaa aaaaiii nacheka kama mazuri.hapo nikufanya maamuzi magumu tu.
Kuna siku hadi chozi lilinitoka. Taarifa ya habari star tv, mdada almost 28 yrs, mume na mchepuko wake wamempiga then wakamnyonga. Baba wa binti anavyoongea kwa maumivu makali, nikajisemea huyu binti si bora angekuwa amerudi kwao, hapa Alikuwa anavumilia nini na amepata nini mwisho wa siku? Mungu atusaidie
 
Hahha aisee umenichekesha, kweli Mungu sio Lusajo. Nani kasema anaenda kuchepuka?. Anyway nyie mnavyoenda kuchepuka watoto wanabakigi na kina nani? Afu kuchepuka sio lazima mtu atumie siku nzima, vimasaa vichache tu vinatosha unaendelea na majukumu ya watoto teh

Yani ushapanga na "vimasaa" vya kuchepuka!! Tunatishana sasa
 
Relax ndugu. Ikinishinda haitakuwa mwisho wa dunia! Marriage is not everything in this world.
.
.
Bila ndoa mtoto unapata na penzi unapata. Nini zaidi nitamiss?
.
.
Remember We Only Live Once!
Hahaa kuna watu wanatamani wangekuwa wao ndo wanagawa Ndoa, haki wengine tungenyimwa kabisaaa. Daah kweli Mungu sio mwanadamu
 
Hiyo ni rare case demi, uchepukaji wa huyo mzee sio wa mtu timamu, najua hakuna uchepukaji timamu. Ila na nyie muwe mnajiuliza inakuwaje mtu aliyekuwa anakupenda sana hadi akakuoa ameanza kutafuta wanawake wengine
Hiyo sio rare kama unavyosema. Kuna ndoa zipo kwenye hali mbaya we hujui tu. Na wanawake ni wavumilivu sana wapo tu wanavumilia ht wazo la kuchepuka hana!
.
.
Uchepukaji kwa wanaume upo enzi na enzi. Huwezi niuliza kwanini mume achepuke..my dear am not a saint.. nina mapungufu na kero km binadamu wengine, Mwanaume ukikosea kidogo basi solution yake ni kutoka nje. Mmejiaminisha kuwa soln ya matatizo ni kutafuta mchepuko..wengine mna halalisha kabisa kuwa men are polygamous by nature!.
.
.
Hakuna aliye mkamilifu kwahiyo mjifunze kusolve matatizo kuliko kutafuta solution ya mchepuko.
.
.
Na utambue kuwa si maanishi natetea michepuko kwa wanawake..HAPANA. Michepuko haikubaliki kwa pande zote. Nashangaa tu kwanini mnamshangaa huyo dada kutaka kuchepuka. Ni kawaida kwa binadamu yoyote mwanandoa kutamani nje! Haina jinsia!
.
.
Ukiweka kando jinsia tukaungana kumshauri huyu dada tutaelewana mimi na wewe!
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Kosa kubwa umefanya nenda katubu kwa Mungu...Na ninategemea ipo siku utakuja kutueleza si vema kwenda inje ya ndoa kimapenzi..na wewe ndo utakuwa mshaur wa wenzako. TATIZO POLE NA HONGERA MAJIBU YAKE NI SAWA..ila pole sana.
 
My dear huo uvumilivu wa namna hiyo tuwachie bibi zetu lo!!! wanawake watano hao ndo kazaa nao je ambao hawakuzaaa aaaaiii nacheka kama mazuri.hapo nikufanya maamuzi magumu tu.
We acha mydear. Hawa wanaume hawajui ni jinsi gani tunapenda ndoa zenye amani lakini hiyo amani hatuipati. Wameshatuharibu hatutarudi kuwa kama bibi zetu..na vizazi vijavyo vinazidi kujitambua.
 
Hapa wangeshamtaja zamani role model wao Mfalme Suleiman. Ila mwanamke akichepuka utahisi tupo wapi sijui, vifungu vinavyoshushwa + kukemewa na kulaaniwa kwa kuchepuka haha. Ndoa na iheshimiwe na wanandoa wote wawili
Hhahahaha

Leo wamepata ukweli mchungu....
 
Hiyo sio rare kama unavyosema. Kuna ndoa zipo kwenye hali mbaya we hujui tu. Na wanawake ni wavumilivu sana wapo tu wanavumilia ht wazo la kuchepuka hana!
.
.
Uchepukaji kwa wanaume upo enzi na enzi. Huwezi niuliza kwanini mume achepuke..my dear am not a saint.. nina mapungufu na kero km binadamu wengine, Mwanaume ukikosea kidogo basi solution yake ni kutoka nje. Mmejiaminisha kuwa soln ya matatizo ni kutafuta mchepuko..wengine mna halalisha kabisa kuwa men are polygamoua by nature!.
.
.
Hakuna aliye mkamilifu kwahiyo mjifunze kusolve matatizo kuliko kutafuta solution ya mchepuko.
.
.
Na utambue kuwa si maanishi natetea michepuko kwa wanawake..HAPANA. Michepuko haikubaliki kwa pande zote. Nashangaa tu kwanini mnamshangaa huyo dada kutaka kuchepuka. Ni kawaida kwa binadamu yoyote mwanandoa kutamani nje! Haina jinsia!
.
.
Ukiweka kando jinsia tukaungana kumshauri huyu dada tutaelewana mimi na wewe!
Sweetheart unapendelea nini nikutumie zawadi? Mwenye masikio na akusikie, waache waendelee kuona kuwa kuchepuka ndo suluhu na ni haki yao. Hakuna mtu anayetosheka ni ile inafika stage unasema ngoja tu nitulie na mume wangu, no need of kuhangaika. Sasa wenzetu wanahisi wao tu ndo wanatamani/hawaridhiki
 
Hapa ndo umeongea ukweli wenu. Mmetubadilikia sana nyie watu. Nyie ndo watunzaji wa nyumba sasa mkianza ligi mnaumiza watoto. busura zaidi kasema finally mume alijirudi, tumieni busara na maombi tu mwanaume atakaa sawa. "Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake, mpumbavu..." unaijua hii quote?
Ha ha haa. Wanawake walivyo sasa ni matokeo ya manyanyaso ya wanaume wa kipindi hicho.
.
.
"mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe"
.
.
Kaka yangu..ipo hivi: Hakuna mwanamke anayependa ndoa yake ivunjike, ni aibu kubwa kwake, unajua kwanini? Ni kwasababu ndoa ikivunjika ni mwanamke ndio anaangaliwa, kosa la mwanaume lkn mke atalaumiwa.
.
.
Hiyo quote yako imetungwa na wanaume ili tu kudidimiza wanawake. Ni kama vile ndoa ni ya mke peke yake, wewe mume unafanya jitihada gani kuhakikisha ndoa yako imesimama? Uvumilivu unamuhusu mke...maombi ni mke akuombee na aombee ndoa yenu na familia kwa ujumla.
Wewe umerelax unaenjoy maisha na michepuko uliyoihalalisha, ukirudi home mapenzi hakuna, command za kijeshijeshi ukitegemea huyu mwanamke atanivumilia tu ni wajibu wake kunivumilia. You are so wrong my brother!
 
Hakuna aliye mkamilifu kwahiyo mjifunze kusolve matatizo kuliko kutafuta solution ya mchepuko.

Hapa umeongea point hadi nimekupenda. Hapi kwenye kusolve matatizo hapo.
 
Kuna mama mmoja wa karibu sana na mimi. Huyu mama ni mvumilivu dunia nzima hakuna!
.
.
.
Ameishi kwa taabu sana na mumewe, kapigwa sanaaa, kafanyishwa kazi sanaaa...tena zile ngumu. Mumewe amezaa na wanawake tofauti tofauti kama watano hivi...wengine walimletea watoto wadogo wachanga huyo mama kawalea. Imagine kalea watoto wa wanawake wengine.
.
.
Mume alikimbia nyumbani akasahau familia maza wa watu yupo tu anahangaika na watoto. Mume akaugua sana huko aliko..wenyewe wamesema alilogwa,kaumwa ile mbaya alivyojua anakaribia kufa ndio anamkumbuka mke wake akarudi nyumbani haikuchukua hata mwezi mzee akadead..
.
.
Sasa hivi mama wa watu yupo tu maisha anatunzwa na watoto ( si mbaya). Mume alikuwa tajiri balaa lkn now mama hana kitu alichoachiwa zaidi ya nyumba. Maza anaumwa viungo mwili mzima madaktari wamesema ni kwaajili ya kufanya kazi ngumu sana na vipigo juu.
.
.
Haya sasa niambie ni nini huyo mama alichopata kutokana na uvumilivu wake? Ndio huu uvumilivu mnaotaka wanawake tuwe nao au ni upi? Kama ni uvumilivu huu sidhani kama kwa karne hii mtapata wanawake wa hivyo. Na huo ni unyanyasaji.


Sad! 😵
 
Back
Top Bottom