Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Sweetheart unapendelea nini nikutumie zawadi? Mwenye masikio na akusikie, waache waendelee kuona kuwa kuchepuka ndo suluhu na ni haki yao. Hakuna mtu anayetosheka ni ile inafika stage unasema ngoja tu nitulie na mume wangu, no need of kuhangaika. Sasa wenzetu wanahisi wao tu ndo wanatamani/hawaridhiki
Nakunywa Balimi shosti sina hata gharama!
 
Hehehe kwani nyie mnavyochepukaga, si mnagonga shoo vizuri tu mnarudi home? Na wanawake wachepukaji wapo smart kama nyie, ukirudi home Unamkuta tu tena anakupokea kwa adabu zote. "Pole na kazi mume wangu" dadeki

Nina gelofrend yeye anasema akikufuma atanyanyua virago tu. Haya mambo ya visasi yeye hayawezi. Yeye na wewe wote mnahitaji maombi
 
Weeee tena mimi kama mtu akinitelekeza akahamia kwa mchepuko wake, atakapoanza kuumwa hoi apitilize tu kijijini kwao, mimi mwenyewe nina allergy na shida. Wakiwa na maisha mazuri hawatulii na wake zao kutwa kuhangaika, yakiwashinda huko ndo anarudi na kijuso kinamshuka. Utauguzwa huku huko ulipokuwa unakula raha zako, nani anataka liabilities.
Wewe ibadilishe tu ID yangu kadri utakavyojisikia.
Kama mume akitaka kurudi a - make sure bado ni asset, sio mtu hueleweki apeche alolo, umekongoroka ndo unanirudia, ntakutoa nduki na zubeda lako, kwendraaa kijijini kwenu huko. Hata ukija vizuir sio guarantee ya kurudiana na wewe ila naweza kukufikiria Haha ahhaa daah


Girl umeona jinsi wanavyotaka ma door mats?!!
Akakitembeze huko, akachafue na matope ya kila aina and then God knows ataokota magonjwa mangapi, halafu anataka arudi akukute uko hapo unamsubiri afutie uchafu aliotoka nao nje.
Unbelievable!
 
Umetafuta mchepuko kupunguza maumivu lakini ukweli utabaki upo kwenye ndoa hata unavyosema ni kibamia umekiona leo wakati ulikuwa unakililia kibamia hayo ni maneno ya mkosaji........suluhisho sio kuchepuka ipo siku utamwina mchepuko wako naye ana kibamia utatafuta mwingine......kumbukeni madhara baada ya kuchepuka
 
Ikifikia mpaka mwamamke anaamua kuchepuka jua yamemfika na kavumilia sana! wanaume wapendeni wake zenu na ukikosea omba msamaha yaishe, ila ukijifanya kiburi na kununa juu, watawachapia sana wake zenu.Huo ni ukweli usiofichika.
Sawa mkuu tutawapenda na kuwaheshim
 
Relax ndugu. Ikinishinda haitakuwa mwisho wa dunia! Marriage is not everything in this world.
.
.
Bila ndoa mtoto unapata na penzi unapata. Nini zaidi nitamiss?
.
.
Remember We Only Live Once!


Eti uishi kwa kunyanyasika, sijui kwa maisha gani.
 
Girl umeona jinsi wanavyotaka ma door mats?!!
Akakitembeze huko, akachafue na matope ya kila aina and then God knows ataokota magonjwa mangapi, halafu anataka arudi akukute uko hapo unamsubiri afutie uchafu aliotoka nao nje.
Unbelievable!
Wanaota hawa. Hiyo miaka yote nakaa namsubiri arudi, yeye nani?
 
Ha ha ha ha ha ipo siku utakuja kuachwa halaf ujutie yte uliyofanya
 
Hehehe kwani nyie mnavyochepukaga, si mnagonga shoo vizuri tu mnarudi home? Na wanawake wachepukaji wapo smart kama nyie, ukirudi home Unamkuta tu tena anakupokea kwa adabu zote. "Pole na kazi mume wangu" dadeki


..Huku ana kinywaji pembeni cha kumpa company wakati anamsubiri...lol
 
Back
Top Bottom