Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Chepuka lakini mambo ya kuanza kumsema eti kabamia ni upumbavu.Ina maana sasa ndio unagundua kuwa ana kabamia?
Ndugu yangu uwezi kujua kibamia kama ujakutana na dushe zito la maaana
 
Huyo mumeo nae ni wakupimwa akili. Mimi nijue mke wangu wa ndoa umeliwa nje huo mtiti wake ni wa Afghanistan kama Siyo Iraq.
Njoo umpime na upime na zako ndo utajua Mme Wang ana akili au hana tofaut ikiyopo baina yako na take wewe ni mkolon na yeye muelewa(changeable man according to the situation so humuwezi kuwa sawa upo hapo afaganstan man?)
 
Nilikua sijawahi kuonja njee ndio maana nilikua namuonabonge la bwana cc hiv namcheka kizungu tu kama yy alivyokua ananichekaga na mauno yangu ya ki..

kama hutojali njoo pm plz
 
Jifunzeni kwa mama zetu jinsi walivyovumilia mengi. Au mnataka kuwandisha nini watoto wenu?
Ooops we are not "our" mothers

So tuwafundishe mabinti zetu kuwa Ndoa ni mateso, ila wavumilie tu kuwa abused hadi siku watakapokufa, . Na watoto wetu wa kiume tuwafundishe kuwa "umalaya" ni njia sahihi, hakuna haja ya kumuheshimu Mungu wala viapo vyao vya ndoa, right?
 
Yaani huu uzi ungeandikwa na mwanaume ungeona jinsi ambavyo angesifiwa!!!
Sasa hao wanaume wanaojisifiaga kuchepuka ndo wajue sasa kua wake zao hawawasubiri tu, nao wanatafuta michepuko! Huyu dada wala simshangai, sema tu yeye kajitoa ufahamu na kuandika hapa... Ila hili lipo kwenye jamii... Wanawake kibao kwenye ndoa wanachepuka. Wanaume waamke, usidhani kumueka ndani na kuendelea na michepuko unamkomoa... Mnakomoana siku hizi
Tena wasiri hao hutakaa ungudue.
 
Nitajie nini hasa walivumilia? Hapo ndio utagundua kuwa waliishi kama watumwa.

Walijishusha sana kwa waume zao. Siku hizi wanawake mmekuwa watata mnataka usawa kila kitu. Mtaweza?
 
Njoo umpime na upime na zako ndo utajua Mme Wang ana akili au hana tofaut ikiyopo baina yako na take wewe ni mkolon na yeye muelewa(changeable man according to the situation so humuwezi kuwa sawa upo hapo afaganstan man?)
Akili gani hiyo ya kujua kitumbua chake kinaliwa na mwingine eti halafu ajirekebishe. Haibadilishi ukweli kwamba tayari umeliwa na mwanaume mwingine. Wacha niwe mkoloni tu kwakweli mambo mengine ni magumu kuyakubali akilini.
 
Jifunzeni kwa mama zetu jinsi walivyovumilia mengi. Au mnataka kuwandisha nini watoto wenu?
Kuna mama mmoja wa karibu sana na mimi. Huyu mama ni mvumilivu dunia nzima hakuna!
.
.
.
Ameishi kwa taabu sana na mumewe, kapigwa sanaaa, kafanyishwa kazi sanaaa...tena zile ngumu. Mumewe amezaa na wanawake tofauti tofauti kama watano hivi...wengine walimletea watoto wadogo wachanga huyo mama kawalea. Imagine kalea watoto wa wanawake wengine.
.
.
Mume alikimbia nyumbani akasahau familia maza wa watu yupo tu anahangaika na watoto. Mume akaugua sana huko aliko..wenyewe wamesema alilogwa,kaumwa ile mbaya alivyojua anakaribia kufa ndio anamkumbuka mke wake akarudi nyumbani haikuchukua hata mwezi mzee akadead..
.
.
Sasa hivi mama wa watu yupo tu maisha anatunzwa na watoto ( si mbaya). Mume alikuwa tajiri balaa lkn now mama hana kitu alichoachiwa zaidi ya nyumba. Maza anaumwa viungo mwili mzima madaktari wamesema ni kwaajili ya kufanya kazi ngumu sana na vipigo juu.
.
.
Haya sasa niambie ni nini huyo mama alichopata kutokana na uvumilivu wake? Ndio huu uvumilivu mnaotaka wanawake tuwe nao au ni upi? Kama ni uvumilivu huu sidhani kama kwa karne hii mtapata wanawake wa hivyo. Na huo ni unyanyasaji.
 
Ni kweli unayosema.
.
.Asikwambie mtu wanawake wengi wanapoingia kwenye ndoa wanakuwa ni waaminifu sana na huwa wanajitahidi sana kutokuchepuka. Anaweza akawa anapata shida mume hamjali, ana michepuko anampiga lkn bado ataendelea kuwa mwaminifu.
.
.
Ukiona kachepuka ujue yamemzidia sana. Anachepuka ili kupata relief, mume hamsifii wala hamjali, akipata wa kumjali kidogo lazima achepuke. Mwanamke na yy ni binadamu anazo hisia.
Tena wakitoka kuchepuka anarudi kavimba ili usisubutu hata kuuliza.hawa watu waajabu sana!
 
Ooops we are not "our" mothers

So tuwafundishe mabinti zetu kuwa Ndoa ni mateso, ila wavumilie tu kuwa abused hadi siku watakapokufa, . Na watoto wetu wa kiume tuwafundishe kuwa "umalaya" ni njia sahihi, hakuna haja ya kumuheshimu Mungu wala viapo vyao vya ndoa, right?

Yani badala ya kukaa na watoto uwafundishe mambo mazuri unaona solution ni kwenda kuchepuka? Bad wife, bad mother... watoto unawaacha na nani unapoenda kwa mchepuko!!
 
Back
Top Bottom