Weeee tena mimi kama mtu akinitelekeza akahamia kwa mchepuko wake, atakapoanza kuumwa hoi apitilize tu kijijini kwao, mimi mwenyewe nina allergy na shida. Wakiwa na maisha mazuri hawatulii na wake zao kutwa kuhangaika, yakiwashinda huko ndo anarudi na kijuso kinamshuka. Utauguzwa huku huko ulipokuwa unakula raha zako, nani anataka liabilities.Kuna mama mmoja wa karibu sana na mimi. Huyu mama ni mvumilivu dunia nzima hakuna!
.
.
.
Ameishi kwa taabu sana na mumewe, kapigwa sanaaa, kafanyishwa kazi sanaaa...tena zile ngumu. Mumewe amezaa na wanawake tofauti tofauti kama watano hivi...wengine walimletea watoto wadogo wachanga huyo mama kawalea. Imagine kalea watoto wa wanawake wengine.
.
.
Mume alikimbia nyumbani akasahau familia maza wa watu yupo tu anahangaika na watoto. Mume akaugua sana huko aliko..wenyewe wamesema alilogwa,kaumwa ile mbaya alivyojua anakaribia kufa ndio anamkumbuka mke wake akarudi nyumbani haikuchukua hata mwezi mzee akadead..
.
.
Sasa hivi mama wa watu yupo tu maisha anatunzwa na watoto ( si mbaya). Mume alikuwa tajiri balaa lkn now mama hana kitu alichoachiwa zaidi ya nyumba. Maza anaumwa viungo mwili mzima madaktari wamesema ni kwaajili ya kufanya kazi ngumu sana na vipigo juu.
.
.
Haya sasa niambie ni nini huyo mama alichopata kutokana na uvumilivu wake? Ndio huu uvumilivu mnaotaka wanawake tuwe nao au ni upi? Kama ni uvumilivu huu sidhani kama kwa karne hii mtapata wanawake wa hivyo. Na huo ni unyanyasaji.
Hadithi, hadithi njoo...........................Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Hatushabikii uchepukaji wake lakini wanaume wajihoji walipokosea huyu kaamua kuliandika hapa lakini wako wengi sanaa!Kuchepuka ni raha kwelikweli
Kama umemkuta mhuni lazima uone tofauti ,mmeo anakuhurumia lakini mhuni anakukunja mpaka kiuno kina gusa uso ukirudi nyumbani viungo vyote vimelegeaToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Kuna mama mmoja wa karibu sana na mimi. Huyu mama ni mvumilivu dunia nzima hakuna!
.
.
.
Ameishi kwa taabu sana na mumewe, kapigwa sanaaa, kafanyishwa kazi sanaaa...tena zile ngumu. Mumewe amezaa na wanawake tofauti tofauti kama watano hivi...wengine walimletea watoto wadogo wachanga huyo mama kawalea. Imagine kalea watoto wa wanawake wengine.
.
.
Mume alikimbia nyumbani akasahau familia maza wa watu yupo tu anahangaika na watoto. Mume akaugua sana huko aliko..wenyewe wamesema alilogwa,kaumwa ile mbaya alivyojua anakaribia kufa ndio anamkumbuka mke wake akarudi nyumbani haikuchukua hata mwezi mzee akadead..
.
.
Sasa hivi mama wa watu yupo tu maisha anatunzwa na watoto ( si mbaya). Mume alikuwa tajiri balaa lkn now mama hana kitu alichoachiwa zaidi ya nyumba. Maza anaumwa viungo mwili mzima madaktari wamesema ni kwaajili ya kufanya kazi ngumu sana na vipigo juu.
.
.
Haya sasa niambie ni nini huyo mama alichopata kutokana na uvumilivu wake? Ndio huu uvumilivu mnaotaka wanawake tuwe nao au ni upi? Kama ni uvumilivu huu sidhani kama kwa karne hii mtapata wanawake wa hivyo. Na huo ni unyanyasaji.
ID yako na maneno yako ni mafuta na maji,Weeee tena mimi kama mtu akinitelekeza akahamia kwa mchepuko wake, atakapoanza kuumwa hoi apitilize tu kijijini kwao, mimi mwenyewe nina allergy na shida. Wakiwa na maisha mazuri hawatulii na wake zao kutwa kuhangaika, yakiwashinda huko ndo anarudi na kijuso kinamshuka. Utauguzwa huku huko ulipokuwa unakula raha zako, nani anataka liabilities.
Ndio wanawaoa sasa ukitaka Asia waajabu lbda umuumbe we hahahaha na mkiliwe nyny na kuleta watoto sio waajabuTena wakitoka kuchepuka anarudi kavimba ili usisubutu hata kuuliza.hawa watu waajabu sana!
Kujishusha kivipi yaani. Tukijishusha ndio mnapata bichwa mnatunyanyasa. Hakuna mke ambaye hajawahi kujishusha kwa mwanaume. Na kama mke wako alikuwa anajishusha mara ghafla kabadilika ujue tatizo ni wewe!Walijishusha sana kwa waume zao. Siku hizi wanawake mmekuwa watata mnataka usawa kila kitu. Mtaweza?
Wanawake wa siku hizi wanajishughulisha, ukimfurumusha anajipangia zake maisha yanaendelea.Endeleeni kumdanganya ili siku akivurumushwa mumsaidie kukaa nae. Aliyesema wanawake wana akili fupi hakukosea aisee.
Uzuri wa ngoma ukiipata leo huumwi kesho ,lazima atakuambukiza tu haina jinsi nikuomba Mungu atuepusheWeeee tena mimi kama mtu akinitelekeza akahamia kwa mchepuko wake, atakapoanza kuumwa hoi apitilize tu kijijini kwao, mimi mwenyewe nina allergy na shida. Wakiwa na maisha mazuri hawatulii na wake zao kutwa kuhangaika, yakiwashinda huko ndo anarudi na kijuso kinamshuka. Utauguzwa huku huko ulipokuwa unakula raha zako, nani anataka liabilities.
Yani badala ya kukaa na watoto uwafundishe mambo mazuri unaona solution ni kwenda kuchepuka? Bad wife, bad mother... watoto unawaacha na nani unapoenda kwa mchepuko!!
My dear huo uvumilivu wa namna hiyo tuwachie bibi zetu lo!!! wanawake watano hao ndo kazaa nao je ambao hawakuzaaaKuna mama mmoja wa karibu sana na mimi. Huyu mama ni mvumilivu dunia nzima hakuna!
.
.
.
Ameishi kwa taabu sana na mumewe, kapigwa sanaaa, kafanyishwa kazi sanaaa...tena zile ngumu. Mumewe amezaa na wanawake tofauti tofauti kama watano hivi...wengine walimletea watoto wadogo wachanga huyo mama kawalea. Imagine kalea watoto wa wanawake wengine.
.
.
Mume alikimbia nyumbani akasahau familia maza wa watu yupo tu anahangaika na watoto. Mume akaugua sana huko aliko..wenyewe wamesema alilogwa,kaumwa ile mbaya alivyojua anakaribia kufa ndio anamkumbuka mke wake akarudi nyumbani haikuchukua hata mwezi mzee akadead..
.
.
Sasa hivi mama wa watu yupo tu maisha anatunzwa na watoto ( si mbaya). Mume alikuwa tajiri balaa lkn now mama hana kitu alichoachiwa zaidi ya nyumba. Maza anaumwa viungo mwili mzima madaktari wamesema ni kwaajili ya kufanya kazi ngumu sana na vipigo juu.
.
.
Haya sasa niambie ni nini huyo mama alichopata kutokana na uvumilivu wake? Ndio huu uvumilivu mnaotaka wanawake tuwe nao au ni upi? Kama ni uvumilivu huu sidhani kama kwa karne hii mtapata wanawake wa hivyo. Na huo ni unyanyasaji.
aaaaiii nacheka kama mazuri.hapo nikufanya maamuzi magumu tu.Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa mnyenyekevu na kuwa mjinga.Kujishusha kivipi yaani. Tukijishusha ndio mnapata bichwa mnatunyanyasa. Hakuna mke ambaye hajawahi kujishusha kwa mwanaume. Na kama mke wako alikuwa anajishusha mara ghafla kabadilika ujue tatizo ni wewe!
.
.
Mnapenda tujishushe lkn nyie wajibu wenu kama mume hamtekelezi..bado tujishushe tu? Ifike pahala mtambue kuwa we are also human beings, we have feelings, what you feel we feel the same and even more! Unapotamani nje na sisi tunatamani.
.
.
Mapenzi ni both sides! Usitegemee upendwe wewe uheshimiwe wewe! Halafu usinipende nikupende, usiniheshimu nikuheshimu. SI KARNE YA SASA.
Relax ndugu. Ikinishinda haitakuwa mwisho wa dunia! Marriage is not everything in this world.Halafu ukiendelea na hii akili ndoa itakushinda .nishakuona wewe.
Wewe ibadilishe tu ID yangu kadri utakavyojisikia.ID yako na maneno yako ni mafuta na maji,
badilisha ID mdada, unaaibisha utukufu
SI KARNE YA SASA.