barakaglory
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 481
- 474
Well kila mtu ana mawazo yake juu ya thread yako.Tuanzie hapa;angekuwa ni mwanaume kasema hayo maneno basi wanaume wenzie wangemuunga mkono ndoa nyingi sana wanaume wamekuwa wakichepuka na mara nyingi wake zao wanafahamu lakini viburi,madharau na kudhan kwamba hakuna chochote wanawake wanaweza fanya basi hata samahani au kuacha kabisa hawawezi kufanya.
Ni kweli mnachokifanya ni dhambi maana kila mmoja alijicommit kwa mwenzie ila tunasahau jambo moja kwamba mwanaume siku zote ni kichwa we learn from them,yote wanayoyafanya tunacopy kutoka kwao na sio wanaume wote lkn kuwa makini magonjwa mengi..Do what makes u happy na mm ningekuwa ww hata mzigo hapati maana alianza kugawa yeye