Uvumilivu una kikomo kwa kweli!Wafunguke tu akili wajue liwapasalo kutendaBora wewe umetoa ushuhuda. Yaani hapo mume alitegemea uendelee kulia ukose raha..wanaume hawajui ni jinsi gani tunapenda amani ndani ya ndoa. Tunavumilia sana lkn tunachoka pia. Uvumilivu hautadumu milele!
Asante kwa ushuhudaCkuweza pata mimba,na kwa vile cjawai toa mimba mpaka sasa na watoto 2 nisingeweza itoa,ndio maana nikasema somtym mnachangia kulea watoto wasio wenu ,maisha ya kudanganya ckuzoea afu course ningeumia kupata mimba isiyo ya Mme Wang nimpendae at the end of day ningemwambia sababu kiukwel sikupenda kutoka nje ili hali nilithamin mwili Wang na sikumpenda mchepuko sababu hakuwa Mme Wang mpnz japo alinipa furaha niliisha lkn kwake nilipata mwili gafla USO ulipendeza had Mme Wang alinishangaa,hayo ni mapito sasa nafuraia maisha ya ndoa sababu Mme Wang kajifunza kitu ,
Mmhh...Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???
Kwa kweli wametuzidi mbinu, usiyaamini machozi yao ukajua ni innocent, ni uzugaji ili usigundue nyendo zake. Wanaume tuna tumia sana simu lakini wenyewe ni MANUALLY na wauza mboga, bucha, ulembo,....Michepuko sisi tunakuwa nayo na huwa tunakamatika kiurahisi. Sisi michepuko huwa tunaipa hadi namba za simu tunazotumia kila siku.
Ila kwq wanawake waache tu ndiyo maana wanabaki kusema wanaume wanaongoza kwq kuchepuka.
Huyoooo ni chaguo lako!!akili zenu mnazijuaga nyie wenyewe. Tukitulia home amani inapotea kabisaaa, mwanamke unakuwa na majibu ya mkato mkato hadi kero. Hela za matumizi umepewa sijui umeficha wapi huko!! Asipite muuza njegere '' baby una 2000 hapo? Niazime naona uvivu kwenda ndani'' Muulize umeweka wapi nikakuchukulie, atakavyo vuta domo weee!!
Tunatofautiana, sie tukichepuka tunaenda kwa wazee wa kazi..... Wazee wa mashine aseeeee
Hatuchepuki bwana hebu usiwadanganye wenzio, au umesahau kuwa wanwake hawapaswi kuchepuka?Kwa kweli wametuzidi mbinu, usiyaamini machozi yao ukajua ni innocent, ni uzugaji ili usigundue nyendo zake. Wanaume tuna tumia sana simu lakini wenyewe ni MANUALLY na wauza mboga, bucha, ulembo,....
Aseeeee!
Hizi ndoa hizi, mbona tunakatishana tamaaEvelyn Salt sasa ni bora tu lile deal letu liendelee hakuna namna.
Ahsante kwa kuja.Huyoooo ni chaguo lako!!
Basi hayo yanayokukera tafta namna bora ya kuyazungumza na mtaelewana vizuri tu.
Nilikuwa na tabia mwenzangu anaweza kunikera nikakaa nalo nakuja kulitoa siku nyingineee(yaani narundika makosa) siku moja ikabidi aniambie tu, kuwa "mama ninapokukwaza(bila kujua) naomba uniambie, usiniwekee kinyongo its not good for yo health too" na tuliongea sanaaa, aliniacha niyatoeeee yooote hadi niwe mwepesiiii.
From there nimeacha kwakweli, and nikajikuta am falling in love with him again. Mawasiliano mazuri baina ya wapendanao(wanandoa) ni muhimu sana, there is where you find what connects you. Unapompata mtu muelewa ni raha sana.
Kwahiyo hayo yanayokukwaza hebu tafuta njia nzuri ya kuyamaliza na mwenzako ili mfurahie maisha yenu. But remember makwazo hayawezi kuisha because she is a human being too but love 'll always connect you back. Msijisahau tu.
Dah! Ukurasa wa 105 na bado tunatoka povu! We binti Kisia kweli umetupatia wanaume.
Hapa lazima tuwe wapole tu. Huu uzi unazidi kudhihirisha kwamba sisi wanaume hatutaki kuamini kwamba
matendo yetu yanaweza pelekea wake/wapenzi wetu wanaweza kufanya maamuzi ya kuchepuka na kisha kufurahia kitendo hicho. Tujitahidi basi kutofanya matendo yanayoweza pelekea wake/wapenzi wetu kuchepuka. Na kama itashindikana
basi matendo hayo yafanyike huku heshima na staha ya wenzi wetu ikipewa kipaumbele
Aaah kama nakuona ulivyo fall In love again na daddyHuyoooo ni chaguo lako!!
Basi hayo yanayokukera tafta namna bora ya kuyazungumza na mtaelewana vizuri tu.
Nilikuwa na tabia mwenzangu anaweza kunikera nikakaa nalo nakuja kulitoa siku nyingineee(yaani narundika makosa) siku moja ikabidi aniambie tu, kuwa "mama ninapokukwaza(bila kujua) naomba uniambie, usiniwekee kinyongo its not good for yo health too" na tuliongea sanaaa, aliniacha niyatoeeee yooote hadi niwe mwepesiiii.
From there nimeacha kwakweli, and nikajikuta am falling in love with him again. Mawasiliano mazuri baina ya wapendanao(wanandoa) ni muhimu sana, there is where you find what connects you. Unapompata mtu muelewa ni raha sana.
Kwahiyo hayo yanayokukwaza hebu tafuta njia nzuri ya kuyamaliza na mwenzako ili mfurahie maisha yenu. But remember makwazo hayawezi kuisha because she is a human being too but love 'll always connect you back. Msijisahau tu.
uko kwenye ndoa?????!
heshima tunawapa ila haiwezi Zidi ya mchepuko
Kabisa mkuu.Kwa kweli wametuzidi mbinu, usiyaamini machozi yao ukajua ni innocent, ni uzugaji ili usigundue nyendo zake. Wanaume tuna tumia sana simu lakini wenyewe ni MANUALLY na wauza mboga, bucha, ulembo,....
Umeongea ukweli maana Ujumbe wake umeibua mbinu nyingi sana ambazo zitatumika kuchepuka kwa wale ambao walikuwa si wachepukaji. Tunayajua mengi kupitia comments za akina espy, nao, Nalendwa, Evelyn Salt, demi, Heaven Sent, na wengineo.Hv unafahhlam kuw mtu yeyote ataechepuka kwa ajir ya ujumbe wako nawe unakua unashirik zambi za mtu kutika nje ya ndoa na mtu kuzin na wakiacha utakua umechangia kuvunjika kwa ndoa... Kwann ucngekaa kimya tuu ufanye yko kimya kimya nn intension yko ktk jamii, kama chake cha bamia ww je kama unalambo akutangaze ama nini...
Mmh unauheshimu mchepuko kuliko mke?? Au Sijakuelewa?uko kwenye ndoa?????!
heshima tunawapa ila haiwezi Zidi ya mchepuko
Amen. Ubarikiwe sanaYES!
TUBADILIKE!
WOTE LIPO TULILOJIFUNZA HAPA!
atakayekuwa amesoma hii thread na akabaki kama alivyo na anavyomtendea mwenzi wake kwenye ndoa basi tena atakuwa ameamua!
hii sredi imenifundisha kitu kikubwa sana!
mfano mengi tuliyoyaandika hapa HATUWAAMBII WAUME ZETU!
so very likely HATA WAO HAWAJUI THE DAMAGE NI KUBWA KIASI GANI!
ndo mana wapo bado wanaobaki kusimama na udume wakiamini the opp ni kuwa wa kike!
-la pili nimeona how far critical the situation is,zamani mwanamke kuandika wazi hivi kuwa nachepuka,na wengine wakamsapoti kwa uwazi na ujasiri huu ,aseeee nimeogopa!
sijaogopa kuwa nitapigwa(mume wangu anajua id yangu)
but najiuliza JAMII IMEFIKA HAPA BASI KUNA KAZI YA ZIADA!
KUNA KAZI YA ZIADA KUSEMA UKWELI!
-hizi ndio ndoa
-hawa ndio wazazi wa watoto
-hawa ndio wasimamizi wa ndoa
-hawa ndio mashemeji na mawifi
-pengine hawa ndio wakwe na wazazi wetu!
KUNA HITAJI LA KUBADILIKA KWA DHATI KABISA!
Dah! Ukurasa wa 105 na bado tunatoka povu! We binti Kisia kweli umetupatia wanaume. Hapa lazima tuwe wapole tu. Huu uzi unazidi kudhihirisha kwamba sisi wanaume hatutaki kuamini kwamba