Kuchapiwa ni faida kwa wanaume

Kuchapiwa ni faida kwa wanaume

1. usifikiri wanawake wote wako ki-pesa zaidi, hao ni wale wanaojiuza tu.
2. Mapenzi yameanza toka binaadam wa kwanza duniani, mpaka hii leo, ni nini kipya utachovumbuwa? Fikiri.
3. Huo ni udhaifu wa roho.
4. Kumbe njaa ndiyo inakusumbuwa?

Sasa kamuulize mama'ko na yeye alimfanyia hayo yote baba'ko?

1. Alimpunguzia matumizi baba'ko?
2. Alimletea staili mpya baba'ko?
3. Aliongeza mapenzi kwa baba'ko kwa kuzini nje?
4. Baba'ko alipofulia alikuta msosi mzuri nyumbani? pamoja na wewe?

17_32.GIF

Qur'an 17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.

ahaaaaaa! kamanimekuelewa vizuri inawzeka mtoa mada ni product ya mchepuko wabi mkubwawake!
 
Mamaaaaaaaaaaae wewe ni ----- sijawahi ona kama ukiwa mume wangu una tabia za kishoga hvi nakuletea mwanaume mwenzako ndani walllah
 
Hahahaha!

Shkamoo Mkuu

resp.jpg
naona haya kutokana na hii thred yako:
1.wewe ni mtoto wa kiume na sio mwanaume

2.kichwa cha habari hakifai kwa kuwa kimegeneralize sana at least kingekuwa kuchapiwa ni faida kwangu,kwa kuwa hayo umeyasema na kuyaona wewe,kwani kuna wanaume wengine wamo humu walikuambia kuwa wanaona sawa tu kuchapiwa wake zao?

3.unapenda kulelewa kiasi uko radhi mkeo aliwe,sitaona hatari hata kama ukipigika haswa na wewe ukaamua kuliwa,mashoga wengi wameingia huko kwa ajili ya kupenda kulelewa na vya bure.

4mkeo ana hasara na kama yumo humu na id yako anaijua na anajitambua mwandalie talaka mapema kabisa aikute mezani hufai hata kwa kulumangia.

think big nafasi bado ipo ya kubadilika bado hujachelewa.

ni hayo tu mkuu JustDoItNow.
 
1. usifikiri wanawake wote wako ki-pesa zaidi, hao ni wale wanaojiuza tu.
2. Mapenzi yameanza toka binaadam wa kwanza duniani, mpaka hii leo, ni nini kipya utachovumbuwa? Fikiri.
3. Huo ni udhaifu wa roho.
4. Kumbe njaa ndiyo inakusumbuwa?

Sasa kamuulize mama'ko na yeye alimfanyia hayo yote baba'ko?

1. Alimpunguzia matumizi baba'ko?
2. Alimletea staili mpya baba'ko?
3. Aliongeza mapenzi kwa baba'ko kwa kuzini nje?
4. Baba'ko alipofulia alikuta msosi mzuri nyumbani? pamoja na wewe?

17_32.GIF
Qur'an 17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.

Wakati mwingine you think like a man aisee I love you Faiza foxy
 
naombeni msaada jinsi ya kumention jina la mtu lenye zaidi ya neno moja. Mfano, Mzee Mwanakijiji AU Miss Bantu
 
kuchapiwa ni siri ya ndani, hii sijui wahenga gani walinena haya, mie ndio nasikia kwenye huu wimbo wa ubongo wa flava
 
Kwa wanaume,
Ukisikia mkeo analambwa nje furahia, na msisitizie awaambie jamaa zake watumie kondomu ili unufaike kwa haya yafuatayo.

1. Unapunguziwa matumizi(Lazima anapewa pesa)
2. Unaletewa staili mpya za mapenzi
3. Mapenzi yanazidi ili husijeshtukia dili.
4. Ukifulia una uhakika wa kukuta msosi mzuri nyumbani.

Ukumbuke na mama yako ni mke wa baba yako pia.
 
tusijisahau kiasi hiki
maneno kama haya yanapokutoka yanadhalilisha hadi mzazi wako..maana na yeye ni mwanamke.
 
Liandike kama lilivyo, penye herufi kubwa andika hivyo hivyo, kadhalika herufi ndogo, penye space acha space, kama hayana space usiache. Alama @ iweke bila kuacha space kwenye neno la mwanzo. Fanya hivyo ulete feedback.

naombeni msaada jinsi ya kumention jina la mtu lenye zaidi ya neno moja. Mfano, Mzee Mwanakijiji AU Miss Bantu
 
Wakati mwingine you think like a man aisee I love you Faiza foxy

Usinishushie hadhi yangu. To think like someone who has two heads and have only enough blood for one? Nope, that's not me, I never think like any stupid man.
 
kwa wanaume,
ukisikia mkeo analambwa nje furahia, na msisitizie awaambie jamaa zake watumie kondomu ili unufaike kwa haya yafuatayo.

1. Unapunguziwa matumizi(lazima anapewa pesa)
2. Unaletewa staili mpya za mapenzi
3. Mapenzi yanazidi ili husijeshtukia dili.
4. Ukifulia una uhakika wa kukuta msosi mzuri nyumbani.

¿¿¿¿ duuh!
 
Usinishushie hadhi yangu. To think like someone who has two heads and have only enough blood for one? Nope, that's not me, I never think like any stupid man.

And who says men are stupid?Is this supposed to be a parable of some sort or what the heck!?You better off acting like yourself
 
As if being a man is a compliment! Mfyuuuu, wakuwacheeee.

umeona marikani wanatia unafiki naijeria?
Usinishushie hadhi yangu. To think like someone who has two heads and have only enough blood for one? Nope, that's not me, I never think like any stupid man.
 
Back
Top Bottom