Hatari kweli kweli!! Hivi kumbe unaweza kuuziwa redio mkulima ukaambiwa TV kubwa tena flat??
Siku naenda kununua gari nitakutafuta ili nisijekuuziwa punda kihongwe nikidhani ni Ford Ranger.....!! mwanga lutila
Hata mimi nilichanjiwa na mjomba kule kwetu Itobo Nzega ila tatizo langu ni kuona wafanyabiashara wakiuza bidhaa bila kuvaa nguo. yaani ni shida kwangu kuona kinamama ma kinadada wakiwa naked
Namimi naitaka napenda chabo sana