nikiwekewa mchanga badala ya sukari kama utamu nauona basi hakuna shida. kitu pekee ambacho nilishafanya sana interview na watu walioacha hayo mambo ni kwamba, nyama nyingi tunazokula buchani zina mauzauza.
1. kama mwenye duka si mchawi au haya Yesu, basi wachawi wa mabucha mengine huwa wanakuja kubadilisha nyama wanamuwekea ya jana ile mpya wanaibeba wao hivyo yeye atawauzia nyama ya jana na ataona imeoza haraka sana.
2. wachawi kwenye mabucha huwa wanaweka sana nyama za watu. tunalishwa sana masaburi ya watu huko kwenye bucha lakini kwa macho ya kibinadamu tunaona ni nyama za ng'ombe.
3. kuna makafara mengi sana tunafanyiwa, hata kwenye migahawa ya vyakula, wanachanganya sana maji ya maiti kwenye vyakula.
4. kuna kipindi kule kimara kuna mmama alikuwa anapika supu, kumbe kuna uchi wa mtoto wa kike uliokatwa huwa anauweka na kupakua ila uchi hauungui wala hauivi ila supu ile lazima iwe na ladha yake. sijui siku hiyo alikosea masharti au dawa iliisha nguvu, wakati anapakua minyama akapakua na kile iuchi, jamaa aliyekuwa amenunua alipokula kufika katikati akaona anaopoa kitu mfano wa uchi, kuhamaki pale yule mama alipigwa na raia hadi akafa kabisa.
5. mwaka juzi kuna jamaa alishakamatwa na uume za watu kwenye mfuko wa rambo amejaza kilimanjaro sijui alikuwa anapeleka wapi.
6. songea walishawahi kuonyesha kwenye ITV mtu wa dukani anaishi na kiganja cha maiti, kimekaukaa kilionekana tz nzima.
7. kuna maeneo huko kagera, ukizika watu wanalinda kaburi, kwani usipolinda usiku wachawi wanakuja kufukua na kuondoka na maiti wanaenda kuicharanga kuila na nyama zingine kuzipeleka mabuchani kubadilisha na nyama za ng'ombe.
8. mtu akizikwa wachawi huwa wanaenda kukata viungo ndio maana utamkuta mtu ana lasfate la mboloo, unafikiri amezitoa wapi?
9. viungo vya albino vinafanywa biashara, matiti yanafanywa biashara, nondo kwa mbeya inapigwa ikitoka damu ile nondo ndio ya kutundikia nyama buchani, ngozi inauzwa kila maluweluwe.
mnachotakiwa kujua ni kwamba dunia hii imejaa ushetani, na kama hautakuwa na macho ya kiroho unaweza kula vitu vya ajabu sana.
mimi nina Mungu, kuna maduka mengine huwa naingia kununua vitu, namwenye duka ananifukuza ananiambia sitaki kukuuzia wewe. ondoka. anafukuza kabisa, hadi nilishangaa.
majuice mnayokunywa, vyakula mnavyokula etc vinatengenezwa na misukule, kuna watu hapa wanafuga misukule hata 300 usiku inafanya kazi mara mia kuliko angefanya binadamu hivyo anaajiri watu wachache na usiku misukule inafanya kazi utaona kiwanda chake kinapiga hatua sana kumbe wafanyakazi wa kawaida hawa ni geresha tu, misukule ndio inafanya kazi usiku.