Kuchanjiwa kumeniharibu kisaikolojia

Kuchanjiwa kumeniharibu kisaikolojia

wee unaogopa nini kusema ni dula la marehem Pera na kwa sasa wanaliendeleza watoto wake
huyu hata mavi yakimbana adi akimbilie nyumban kwake kule sijui wapi karibu na ifunda kwenda kunya.
ah hahahah hahaaaa ahahaha haaa,
Anaenda kunya tosa kwenye shamba lake, nakumbuka enzi hizo nasoma Ruaha Secondary alikuwa lazima apite pale kwenda tosa kukata nyengo,
alikuwa na kaunda suti hiyo inavaliwa miezi sita bila kufuliwa huku chini kavaa njumu,

Lakini mkuu baadae aliokoka wakaenda nyumbani kwake kuchoma madude yake akaanza kupiga mkanda nje na tai, daaahhhh wametuchungulia sana wale washenzi
 
Jamani lakn wakazi mwa Iringa kwana haya magen kwenu??
ivi yule mmama wa pale Ilala iringa alokuwa anuza samaki kumbe anauza panya na watu walikuwa wanajaa toka mwandinga, frelimo kihesa kumnunuza??
Mkuu yule mama wa samaki alikuwa yupo pale mshindo karibu na NBC Bank opposite na Kanisa katoliki, baadae walivogundua akakimbia, daahh ila wale samaki walikuwa watamu, mana nimekula sana
 
Mkuu yule mama wa samaki alikuwa yupo pale mshindo karibu na NBC Bank opposite na Kanisa katoliki, baadae walivogundua akakimbia, daahh ila wale samaki walikuwa watamu, mana nimekula sana
wee unakumbukumbu nzuri sana a
alikuwa anaish ilala ata mie nimekula sana wale samak kumbe sio samaki
mweeeh
 
ah hahahah hahaaaa ahahaha haaa,
Anaenda kunya tosa kwenye shamba lake, nakumbuka enzi hizo nasoma Ruaha Secondary alikuwa lazima apite pale kwenda tosa kukata nyengo,
alikuwa na kaunda suti hiyo inavaliwa miezi sita bila kufuliwa huku chini kavaa njumu,

Lakini mkuu baadae aliokoka wakaenda nyumbani kwake kuchoma madude yake akaanza kupiga mkanda nje na tai, daaahhhh wametuchungulia sana wale washenzi

Pera alikuwa mshenzi Mungu amsamehe tuu
yaani jaman afu unaona pale alipojenga nyumb ayke yaani iko peke yake katikati ya shamba ukipita mafinga road unaiona kwa chin ya kijan

watoto wake naskia wamerith mikoba
 
Mkuu yule mama wa samaki alikuwa yupo pale mshindo karibu na NBC Bank opposite na Kanisa katoliki, baadae walivogundua akakimbia, daahh ila wale samaki walikuwa watamu, mana nimekula sana

Aliyekuwa anageuzia mkono wa binadami samaki
 
ndo huypo huyo
kimsingi watu wa Iirnga wengi ni wachaw sanaa na ndo mana hata biashara zao nyingi ni za kichawi chawi tuu

.......mmmh!! Nilikaa Mkoa wa Iringa for some years, nadhani kama ni kweli watu wa kule wachawi basi watakuwa waliniroga hadi wamechoka. Sasa hivi nimehamia Mkoa mwingine nimemiss kurogwa lol!! Natamani kurudi tena Iringa.

Hata hivyo siamini kama watu wengi wa Iringa ni wachawi kama unavyosema ingawa uchawi upo kila mahali.

Watu wa Iringa nawapendea ukarimu wao na kiburi (Kida'da) pale ukikosana nao.
 
Da h hebu chungulia Lowassa na Membe unaweza kukuta ni misukule na kura zinapigwa zinajaa kwa mwingine
acha nape akuchague ukasimamie kura Mkutano Mkuu
KUPYATILA kamusi imenitoa njee labda Google
Kula majivu na nyasi - Hata somo la Biology vitu hivyo havuna vurutubisho sijui wanawezaje ishi wakila majivu
kweli watu badi hawamwamini MUNGU
 
mtwara duka la mshindo ulikua ukiingia unajiona umevaa kumbe uchi
siku moja kuna mzee kutoka vijijini huko akaenda pale dukani bas kuingia kajiona utupu
wacha agombane nae sana yule mshino(mwenye duka)na akafichua siri
bas ikawa aibu siri imefichuka kua anawavua nguo watu dukani
Chinga One@sizinga mnaijua hii
 
Last edited by a moderator:
Wasalaam,

Bila shaka wapo wanaoelewa au kusikia mtu amechanjiwa na anaweza kuona yale yasioonekana kwa macho ya kawaida.

Mwaka 1982 nilipokuwa na miaka 11 baba yake bibi ambaye mimi namuita bamkubwa alinipeleka porini ambapo aliweza kunionyesha mti ujulikanao kama Mlami kwa kilugha chetu kibena na kuniambia huu mti ukichanjiwa yaani uchanganye kwenye damu yako kisha kunuia unaweza ukawa unaona mambo yanayotendeka kishirikina na mchawi anakuogopa.

Nikamwambia mtani nichanje na mimi akanichanja chini ya nyao za miguu akapyatila magome yake akanipaka na kuanza kunuia kazi ikawa imeisha.

Toka hapo kweli nimekuwa nashuhudia mambo ya ajabu ajabu nilishawahi kukutana na watu ambao tulikwisha wazika siku nyingi ila chini wana kwato si binadamu wa kawaida. Migomba ikizikwa na kuzaniwa na watu hiyo ni kawaida.

Kuna matukio nimeyaona hivi karibuni, tukio la kwanza ijumaa nilienda kumuona bint yangu ambaye anasoma kidato cha pili shule moja iliyopo pale Idodi na bahati nzuri nilikuta ndio wanakula chakula cha mchana kilichonistaajabisha ni kumuona mwanangu anakula Majivu ambao ni Ugali na Nyasi ambao ndio mboga nikaangalia na wanafunzi wengine nao ni vile vile nikaenda mpaka jikoni kuangalia wanapakuliwa nini napo nikakuta ni Majivu na Nyasi kiukweli nilikosa nguvu nikamuaga mwanangu nikaondoka na mwingi wa mawazo.

Mpaka sasa shule ikifunga nina mpango kumuhamisha nikae naye mwenyewe asome day.

Tukio la pili ni la leo ambapo niliingia duka moja hapa miyomboni ili kupata mahitaji ya nyumbani, ghafla aliingia mama mmoja anataka Sukari, muuzaji akaanza kumpimia, nilichokiona ni Mchanga badala ya Sukari ndicho alichokuwa anapimiwa yule mama, nilitaka kumwambia ila nikasita nikaamua kuondoka.

Sina raha, Sina amani, ninajihisi sio binadamu wa kawaida kwa haya ninaoyaona. Nimejaribu kila hali niweze kuacha kuyaona haya mambo lakini imeshindikana.

Kisaikolojia siko sawa.

Jina lenyewe tu Mwanga linamaanisha kigagu. Nenda ukaombewe uachane na mauchawi. Sasa humu JF mbona tuko uchi na hutuoni
 
Nipe no yahuyo babuyako nimfuate huko namimi nataka niwekama wewe
 
wwe na wewe umejibu kwa kuhamak tu
ungesoma vizuri ungeona kamba kwasasa nikienda iringa naenda kwa siku chache tu manake nilisema hivi ndo mana sifanyi shopping ya kitu iringa nikienda naenda na vyangu toka nitokako.

mie sio mkaz wa iringa ila huwa naend akwa siku kadhaa na kurudi, sasa mahitaj yangu nayabeba mwenyewe ila kwa opesa yangu eti na folenika kwa Pera hunikuti ng'oo

Vipi pale kwa BABA...SA! misosi daily tunakapenda kale ka hoteli sana TUMESALIMIKA KWELI?
 
Vipi pale kwa BABA...SA! misosi daily tunakapenda kale ka hoteli sana TUMESALIMIKA KWELI?
malizia tu bhanaaa BABANUSA....................
Ha ha ha ha ha ................

siku hizi naskia kuna duka la mkongwe kwa sasa ndo linavuma kweli nalo linaitwa kwa KAUNDAMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom