sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Mkuu rekebisha hapo sio watu weusi ndo wanamatatizo, mbona sisi weusi tulio wengi ndo hatutaki chanjo?watu weusi ni wa ajabu sana, wengi huamini mawazo ya mzungu ndo final kwa kila kitu na hiki ndo kimetufanya tubaki nyuma miaka yote.
siku za nyuma nilipinga sana approaches za magufuli dhidi ya covid ila baadae ndo zimekuja onekana ndo approaches nzuri dhidi ya corona na hata wazungu wenyewe wamezitumia.
tuacheni kuwa watumwa kifikra hata sisi tunaweza kua source ya kutatua jambo lolote duniani bila kumtegemea mzungu maana tofauti yetu na wao ni rangi tu.