#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

watu weusi ni wa ajabu sana, wengi huamini mawazo ya mzungu ndo final kwa kila kitu na hiki ndo kimetufanya tubaki nyuma miaka yote.

siku za nyuma nilipinga sana approaches za magufuli dhidi ya covid ila baadae ndo zimekuja onekana ndo approaches nzuri dhidi ya corona na hata wazungu wenyewe wamezitumia.

tuacheni kuwa watumwa kifikra hata sisi tunaweza kua source ya kutatua jambo lolote duniani bila kumtegemea mzungu maana tofauti yetu na wao ni rangi tu.
Mkuu rekebisha hapo sio watu weusi ndo wanamatatizo, mbona sisi weusi tulio wengi ndo hatutaki chanjo?
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Bwege sana wewe Jidula Mabambasi,tulazimishane chanjo hii ya mwendokasi?
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Umekwisha elezwa hata ukichanjwa lazima uvae barakoa ,au unamihemuko?,fuatilia ujifunze,pia hata kuchanja hakuzuii kutokuambukiza na kuambukizwa, virus wanageuka kila uchao,utachanja mpaka ujishangaa
 
We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.

UNAFIKI!
Hans mwenyewe alikili kuwa anaumwa COVID-19 akiwa hosptal alihojiwa na Maulid Kitenge
 
We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.

Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.

Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
Sasa kitu gani kinakufanya uweweseke wakati wewe tayari umechanjwa,na kujidhania upo salama?
Kuna shida kubwa kwenye vichwa vya panzi kudhani wana vichwa vikubwa kama tembo,wanakuja kushangaa
vichwa vyao vinamezwa na kuku.
 
Ninajua ndiko tunakoelekea chanjo itakuwa lazima na asiyechanja atakuwa amejitenga na dunia hivyo atapata mateso yote kama kutosafiri,kufukuzwa kazi, kufanya biashara na mengine mengi ila kwa Sasa wakati wenu bado haujatimia kuanza kulazimisha wewe mbona unabkiherehere kuliko hata baba yako ibilisi? Tuliza mshono kwanza watu waaminifu tukamilishwe au tunolewe kwa ajili ya kuwashinda Kama kawaida yetu,
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Mimi tayariii
 
We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.

😨UNAFIKI!
mwenyewe ndiye alisema hivyo akiwa hospital, wewe unabisha ni nani??!
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Punguani utawajua tu.
 
Sasa ilikuwaje ukafanya haraka kuamua kwenda kuchanjwa halafu sasa hivi dhamiri kama vile inakusuta sijui majuto si majuto?!

Kiasi kwamba unatamani watu wote wachanjwe ili mfanane?!

Tumtumaini Bwana tu maana Tumaini lake halitahayarishi!

Tutazidi kusalimika tu kwa rehema zake!
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.

Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.

Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
dada kwanini umeandika hivi
 
Mkuu afya ya binadamu ipo kwenye maamuzi. Usiwapangie watu
 
Kwani sisi tusiochanja tukifa wewe unakereka wapi?
Sijachanja Ila bado nna option 2, kubaki kutokuchanja au kuchanja.
Wewe uliyechanja una option moja tu kuendelea kupigwa booster km kuku wa kisasa.
Nazani waliochanja wakifikiria hilo wanapagawa ndio maana wanalazimisha wote tuchanje. Wakisukumwa na msemo "Msiba wa wengi ni harusi!
 
Msipochanja mimi nakereka.
 
Kachanje wewe halafu uache wasio chanja wapate funzo kwa kutochanja kwao. Kwani ukichanja si hautopata corona? Sasa mwenzio asipochanjwa wewe wasiwasi wako nini?
Nawashukuru sana kwa kuniunga mkono.
Sasa mkachanje haraka kabla dawa haija expire.
 
We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.

😨UNAFIKI!
Kweli hii Nchi inayo watu wa ajabu sana, yaani hata hichi kifo cha Zakaria Hans pope bado unataka kubisha kuwa hakuugua Covid ? Yeye mwenyewe ametangazia watu akiwa amelazwa Aghakhan Hospital kwamba anaugua covid na kwamba huu ugonjwa unatesa sana, akaendelea kumwambia Gerson Msigwa Waambieni watu wachukue tahadhari, huu ugonjwa unatesa sana !! Acheni ubishi katika kitu ambacho kiko wazi kabisa, Huko duniani walikoendelea sana wameshaanza kuwachanja mpaka watoto wadogo, je wanataka kuwaua watu wao wote mpaka watoto ??!!!
 
Back
Top Bottom