Kucha ndefu ni uchafu

me hata chakula kilichopikwa na mwanamke mwenye mikucha mirefu sili.
 
Kucha ndefu wala sio uchafu,suala kubwa ni matunzo tu
Binafsi ninazo ndefuu na ni safi 24/7
huwa unajichamba vipi sasa,au wewe huwa hunyi mwenzetu na kusafisha papuchi huwa unasafishaje?
inabidi utoe darasa kwa wananchi ndugu
 
du juz tu nmetoka kumwambia mchepuko ukate kucha zake..cha ajabu kanijibu eti sio uchafu bali uremboo..
 

Ulijuaje shetani ana kucha ndefu?

Kaandika mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movies za kinigeria

Obviously kaona shetani wa kwenye movie

Ulikuwepo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…