Kucha ndefu ni uchafu

Kiafaya haitakiwi kuingiza kitu chochote kwenye papuchi zaidi ya uume, k kwa kawaida hujisafisha yenyewe inatakiwa kuoshwa juu na kujimwagia huko maji mengi tu ya baridi na sio kujichokonoa huko na kucha
 
Kucha ndefu wala sio uchafu,suala kubwa ni matunzo tu
Binafsi ninazo ndefuu na ni safi 24/7
 
Ukweli kabisa makucha ni uchafu
Unapikaje unafuaje unaoshaje vyombo?
Vingine vinipite tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…