Kubwa Kuliko...!

Kubwa Kuliko...!

Dah, mmenichekesha sana.

@The Finest, uje usaini mkataba wa ku-revise ile slogan mlotunga na Lizzy, yeye kishasaini mkataba umebaki wewe.
Where hav you been?

Tukutane barabara ya morogoro road.
 
Pneumonia - limonia, amonia
Theatre - fyeta
Operation - kapigwa plesheni
Genuine - jiniani
Scrape (metal) - selekepa
Malairia - maralia
Kitchen party - chikenipati
Stowaway - stolowei

Sekelepa na chikenipati ha..ha..ha..ha hizi zimeshakubalika sehemu nyingi.
 
Bloody Fool. . .Blaliful, Blariful. . Kinyumbani zaidi.

Ha ha ha haah! Kumbe hii ndio maana yake, nakumbuka babu alikuwa anatuambia hivyo tukimkera enzi za utoto!
 
Mama yangu anaitwa elizabeth au eliza, wale wabibi ambao ni mama zake huwa wanamuita Iliza ama ilizya ( kinyumbani zaidi)lol
 
kwetu Magreth anaitwa Megu
Mark - Mariko
Peter - Petero
 
Dah, mmenichekesha sana.

@The Finest, uje usaini mkataba wa ku-revise ile slogan mlotunga na Lizzy, yeye kishasaini mkataba umebaki wewe.
Where hav you been?

Tukutane barabara ya morogoro road.
Hahahaha!!! Lizzy hajachukua share kubwa kweli baada kusaini isije akawa kachukua 50% baada ya kusaini..lol
 
Bloody Fool. . .Blaliful, Blariful. . Kinyumbani zaidi.

Kisha nimekumbuka huwa anasema "kapata kisidenti kwenye mtukari yake"

Kisidenti = a small accident

!!!!

Dah, mmenichekesha sana.

@The Finest, uje usaini mkataba wa ku-revise ile slogan mlotunga na Lizzy, yeye kishasaini mkataba umebaki wewe.
Where hav you been?

Tukutane barabara ya morogoro road.

Barabara ya Morogoro road, mtaa wa "The Finest street"
Nyie hapo juu....:lol:
 
Ha ha ha haah! Kumbe hii ndio maana yake, nakumbuka babu alikuwa anatuambia hivyo tukimkera enzi za utoto!

Hehehehe ulikua hujui kumbe? Well, habari ndio hiyo.

Ice cream - Sikirim
 
Back
Top Bottom