Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Kubenea ndio habari ya Mjini Makalio ataisoma namba mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko.

Habari za Lindi Ngongo. sasa tambua Ubungo kama wanataka usanii uliotukuka, kubenea ndiyo msanii, jua hata cv yake. CV tu ni usanii sembuse kazi ya kuwakilisha ambayo hakutani na wote kwa mara moja? watasaniishwa wanaubungo mpaka wakome. Maana pia ni mtaalamu wa kuandamana bila kibali.

Masaburi ni mkombozi wa jimbo hilo maana msanii mwingine amekimbilia kwingine kwenda kusanii kibamba akijua hawamfahamu, na kule Dr. Fenella kamkamata hawezi kufurukuta, bahati mbaya viti maalum kwake havina nafasi.
 
Nimerejea Arusha tangu majuzi nikitokea Mtama jimbo la Nape mambo si mazuri labda anategemea goli la mkono,Dar nilipita nimetembelea sehemu nyingi hasa majimbo ya Ubungo,Kawe na Kibamba hali ya CCM ni mbaya sana hakika watashindwa sijui mhanzisha hoja kakurupuka usingizini wananchi wanataka mabadiliko CCM mwaka huu ni mwisho baada ya uchaguzi kitakuwa chama kikuu cha upinzani.

Hahahahaaa kura yangu kwa Lowasa, Kubenea tu

12049185_10153758037426473_7214607336172915511_n.jpg
 
Kubenea anasambaza sms za kutaka wakazi wa ubungo tumchague kuwa mbunge wa jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma sms kwa kuwa ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

Kanjanja kubenea zero
 
Unalalamika wakati watu tunapigiwa simu zina Sauti ya Magufuli anaomba kura!!!! What a shame.
 
Jinga kweli hili nakuambiaje kubenea mbunge kesho saa mbili asubuhi hivi kweli sisi na akili zetu tuchague lile kubwa jingaa ili iweje likawakilishe chama sio?
 
Na mi ni mpiga kura wallah kituo st aggrey kesho sa kumi nipo kituoni mtaani nina kura za uhakika 20 mtakoma mwaka huu
 
Nimerejea Arusha tangu majuzi nikitokea Mtama jimbo la Nape mambo si mazuri labda anategemea goli la mkono,Dar nilipita nimetembelea sehemu nyingi hasa majimbo ya Ubungo,Kawe na Kibamba hali ya CCM ni mbaya sana hakika watashindwa sijui mhanzisha hoja kakurupuka usingizini wananchi wanataka mabadiliko CCM mwaka huu ni mwisho baada ya uchaguzi kitakuwa chama kikuu cha upinzani.

huyu MHANZISHA hoja hata mimi nimeshindwa kumuhelewa kabisa mkuu
 
Kubenea alikuwa ashinde hata kwa asilimia 80 pale Ubungo. Ila kusimama na Lowassa kumemtia nuksi, matokeo yake hata asilimia 20 hapati.

Wewe jamaa tangu nianze kukusoma hapa JF haujawahi kuwa tofauti na CCM hivi kwa akili za kawaida wewe unaweza kuongea chochote cha kuisifia au kumsifia mtu wa chama kingine tofauti na CCM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom