Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Mi nakaa ubungo external sasa nashangaa huyu zuzu wa ccm anaesema kubenea watu wa ubungo hawamtak cjui anaish wapi.
Hapa ni kubenea tuu. Masaburi wapelekee wapenda 0713
 
Kubenea anasambaza sms za kutaka wakazi wa ubungo tumchague kuwa mbunge wa jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma sms kwa kuwa ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
Unaongea kwa niaba ya ubungo?? Who are you anyway? ? Sema wewe humtaki ila geuka kulia kwako ukiza jirani zako wanamtaka nani!! Wote watakujibu Kubenea
 
Achaneni na magamba na alimpiga bodaboda yani wanahasira nae mno wataacha kazi zao kuhakikisha masaburi hashindi
 
pwanikwetu

Kubenea nilikuwa namwamini kama Dr. Slaa kwa usahihi wa taarifa zake nikugundua jana kumbe ni mjinga na mpumbavu kuliko wapumbavu wote duniani badala ya kunadi sera za NLD amechukua muda mwingi kumtukana Dr. Magufuli eti katoa nyumba kwa mtoto wa nje ya ndoa mara hana mke wakati huohuo mama Janet Magufuli alikuwa akimwombea kura mumewe na TBC walirusha kipindi hicho sasa anaposema Magufuli hana mke yule aliyekuwa pale jangwani ni mama yake Kubenea?

Kubenea hawezi kushinda ubungo kwakuwa hajawaambia wakazi wa ubungo atawatatulia kero zao bali alichukua muda mwingi kuelezea habari za ndoa ya Magufuli na wakazi wa ubungo hawana haja na ndoa ya Magufuli kwakuwa iwe na mgogoro au haina hawahitaji kujua kwakuwa haina manufaa kwa wakazi wa ubungo. Wakati hata ndoa yake ina mgogoro mkewe kamfumania na bodaboda mbona hajasema jukwaani?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza aliyekuambia Kubenea kwao Mafia ni nani?
Tunaomjua Kubenea tunakausha.
 
Masaburi akishinda Ubungo basi wanaUbungo itabidi kuwapima akili...

Hivi unampeleka Masaburi bungeni kufanya nini!!!
 
Nasema hivi ntahama ili jimbo masaburi akipita wallah naapa mbele ya mungu
 
Kubenea alikuwa ashinde hata kwa asilimia 80 pale Ubungo. Ila kusimama na Lowassa kumemtia nuksi, matokeo yake hata asilimia 20 hapati.
Tusubiri tuone. Maneno mengi ya nini?
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
Kipelee umejiunga juzi tu hapa maneno mengiii,ati Ubungo hamumchagui Sued Kubenea wewe na nani haswa na wewe ni nani hapo Ubungo hadi utoe tamko la kishoga kama hili nyie si ndio wale vijana wa yule Pimbi Didas Masaburi fisadi wa UDA leo hii waja ati wabana pua ooh hatukuchagui kati ya Didas Masaburi na Sued Kubenea nani Fisadi punda wewe.Utaolewa mwaka huu wee haya
 
Poleni sana Vipelee mmechelewa hivi mtu anapiga kura mara ngapi hawa mapimbi wa CCm hapa wanajamba mashuzi tu sifahamu wamekula amaharagwe ya wapi vile.Hivi mtapiga kura mara 30 au mara moja mngekuwa mnapiga mara 30 ningesema Sued Kubenea kwisha lkn kama ni mara moja basi Kubenea ndio Mbunge wa Ubungo sahauni yule Pimbi wenu Didas Masaburi anayewatupia vibuku 10 ili mjifanye Chadema.Yule kapiga UDA na marafiki zake wakuu ni wapiga deal akiwemo mkuu wa mkoa Mek Said,Kikwete na wale washihili wa Yemen mafisadi nguli wasimamioa kampuni za Kikwete.Niwaulize tu Masaburi nae kapata mgao wa kura feki kutoka kwa hawa kima wa Kishihili.Jaribuni kuzisambaza mkutane na nguvu ya Umma mtazalishwa.
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
Sijayapata kabisa matokeo ya Ubungo. Nani alishinda?
 
Katika watu niliowaheshimu ila nimetokea kuwapuuza mwakahuu wa uchaguzi ni kubenea

Ubungo kama mnataka usanii uliotukuka, kubenea ndiyo msanii jua hata cv yake. CV tu ni usanii sembuse kazi ya kuwakilisha ambayo hakutani na wote kwa mara moja? Mtasaniishwa wanaubungo mpaka mkome. Masaburi ni mkombozi wa jimbo hilo maana amekimbia msanii mwingine hapo kwenda kusanii kibamba akijua hawamfahamu, na kule Dr. Fenella kamkamata hawezi kufurukuta, bahati mbaya viti maalum kwake havina nafasi.

Kubenea alikuwa ashinde hata kwa asilimia 80 pale Ubungo. Ila kusimama na Lowassa kumemtia nuksi, matokeo yake hata asilimia 20 hapati.

Akaandile magazeti ya udaku huko, masaburi anaweza shughuli za kijamii na kiserikali

Akaandike magazeti ya udaku huko

Kubenea kashajichokeaaaa......
Hamuwezi magufuliiiiii

Kanjanja kubenea zero

mwandishi wa habari asiye na taaluma ya uandishi wa habari

Masikini kenge maji CCM,Masaburi na mimba yake chaliiiiiiiiii kifo cha mende.Mleta uzi njoo tena utufafanulie ulikuwa unamaanisha nini na hawa nyumbu waliokusapoti.Wanaishi Sigimbi wanaongea habari za Ubungo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom