Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Kubenea ndio habari ya Mjini Makalio ataisoma namba mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko.

Makalio kishaisoma mamba tayari. Nasikia Makalio pia anagombea "UMAKINDA". Nako atakatwa
 
habari za lindi ngongo. Sasa tambua ubungo kama wanataka usanii uliotukuka, kubenea ndiyo msanii, jua hata cv yake. Cv tu ni usanii sembuse kazi ya kuwakilisha ambayo hakutani na wote kwa mara moja? Watasaniishwa wanaubungo mpaka wakome. Maana pia ni mtaalamu wa kuandamana bila kibali.

Masaburi ni mkombozi wa jimbo hilo maana msanii mwingine amekimbilia kwingine kwenda kusanii kibamba akijua hawamfahamu, na kule dr. Fenella kamkamata hawezi kufurukuta, bahati mbaya viti maalum kwake havina nafasi.

eti unasemaje?
 
Rudisheni pikipiki za kumbwa jinga kwanza,maana hanakamata ilala anaziamishia ubungo ilikuraisishia kampeni,sasa amebakia na wasiwasi kama anaonga nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom