Kubenea kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,971
CKcKwnMUwAAPGvR.jpg
Habari,
Mkurugenzi mtendaji wa Mwanahalisi publishers, Said Kubenea amechukua fomu za kugombania ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA.

Amesema lengo ni kusaidia wananchi kwa changamoto zao, kuongeza nguvu katika miswada ilioletwa kwa hati ya dharura na ameamua kugombea kwa tiketi ya CHADEMA kutokana na UKAWA kukubaliana jimbo la Ubungo litasimamisha mgombea wa CHADEMA kupitia UKAWA.

Kuhusu Mnyika amesema hajapata fursa ya kuonana nae lakini akipata fursa hio atamshauri aende Kibamba kwa sababu kashafanya mengi jimbo la Ubungo.
 
Nawapigia salute cdm kwa kuwa na mikakati ya kisomi na hatari kwa uhai wa ccm na mawakala wao,kitendo cha said kubenea kwenda kugombea ubungo ni mbinu kali sana iliyotumiwana cdm ili kuhakikisha kuwa wanaongeza majimbo mkoani dsm,mnyika atagombea jimbo lolote jijini dsm na atapata kutokana na kujulikana kwa kazi yake, bungeni,the same tunduma na momba wamefanya hivyo.nawaombea kila la kheri
 
Nilidhani kuna orodha ya mikakati, ila poa kwa maelezo yako
 
Nawapigia salute cdm kwa kuwa na mikakati ya kisomi na hatari kwa uhai wa ccm na mawakala wao,kitendo cha said kubenea kwenda kugombea ubungo ni mbinu kali sana iliyotumiwana cdm ili kuhakikisha kuwa wanaongeza majimbo mkoani dsm,mnyika atagombea jimbo lolote jijini dsm na atapata kutokana na kujulikana kwa kazi yake, bungeni,the same tunduma na momba wamefanya hivyo.nawaombea kila la kheri

Aliyeelewa anifafanulie tafadhari..
 
kamanda weka wazi kidogo umenifumba .
 
Una uhakika? Mbona tunaambiwa S.Kubenea anajipanga kugombea mafia? All in all natamani Mnyika arudi mjengoni, na ukitupia kubenea ndani akaenda kuungana na kafulira huku Lissu akicheza kati, mdee akawasaidia kuokota mipira ya nje, daah! ni kuua nyoka kwa shoka.
 
kamanda weka wazi kidogo umenifumba .

Mkuu jimbo la ubungo limeongozwa na mnyika mbunge kupitia cdm kwa kipindi kinacho ishia sasa na kuwafanya wana wa ubungo kuamini na kukubali kuwa hilo jimbo liendelee kubaki mikononi mwa cdm,ccm walivyo gundua hilo kuwa hawawezi kulipata ndio wakaongeza jumbo la kibamba hivyo basi cdm kwa ustadi wa hali ya juu wameona kubenea agombee ubungo kwakuwa ni jimbo la cdm piga ua,na mnyika aende kibamba au popote kwa kutumia umaarufu wake lazima atashinda,hii mbinu ni kali sana na inahitaji vichwa sana
 
The best kubenea mzalendo aliyekubuhu akiingia bungeni sipati picha !
 
Mkuu jimbo la ubungo limeongozwa na mnyika mbunge kupitia cdm kwa kipindi kinacho ishia sasa na kuwafanya wana wa ubungo kuamini na kukubali kuwa hilo jimbo liendelee kubaki mikononi mwa cdm,ccm walivyo gundua hilo kuwa hawawezi kulipata ndio wakaongeza jumbo la kibamba hivyo basi cdm kwa ustadi wa hali ya juu wameona kubenea agombee ubungo kwakuwa ni jimbo la cdm piga ua,na mnyika aende kibamba au popote kwa kutumia umaarufu wake lazima atashinda,hii mbinu ni kali sana na inahitaji vichwa sana
asante sana mkuu.
 
Kwakweli hapo chadema wamechanganya karata zao vizuri kwakweki!
 
Hata mimi ninavyofahamu ni kuwa Kubenea angegombea Mafia.
Una uhakika? Mbona tunaambiwa S.Kubenea anajipanga kugombea mafia? All in all natamani Mnyika arudi mjengoni, na ukitupia kubenea ndani akaenda kuungana na kafulira huku Lissu akicheza kati, mdee akawasaidia kuokota mipira ya nje, daah! ni kuua nyoka kwa shoka.
 
Una uhakika? Mbona tunaambiwa S.Kubenea anajipanga kugombea mafia? All in all natamani Mnyika arudi mjengoni, na ukitupia kubenea ndani akaenda kuungana na kafulira huku Lissu akicheza kati, mdee akawasaidia kuokota mipira ya nje, daah! ni kuua nyoka kwa shoka.

Mkuu kubenea kashachukua form leo kugombea ubungo cdm
 
Back
Top Bottom