Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,532
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
 
Katika watu niliowaheshimu ila nimetokea kuwapuuza mwakahuu wa uchaguzi ni kubenea
 
Kubenea anasambaza sms za kutaka wakazi wa ubungo tumchague kuwa mbunge wa jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma sms kwa kuwa ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

....wacha kelele; tuoneshe hiyo sms!
 
Kubenea ndio habari ya Mjini Makalio ataisoma namba mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko.
 
kubenea ndo habari ya ubungo

Ubungo kama mnataka usanii uliotukuka, kubenea ndiyo msanii jua hata cv yake. CV tu ni usanii sembuse kazi ya kuwakilisha ambayo hakutani na wote kwa mara moja? Mtasaniishwa wanaubungo mpaka mkome. Masaburi ni mkombozi wa jimbo hilo maana amekimbia msanii mwingine hapo kwenda kusanii kibamba akijua hawamfahamu, na kule Dr. Fenella kamkamata hawezi kufurukuta, bahati mbaya viti maalum kwake havina nafasi.
 
Kubenea alikuwa ashinde hata kwa asilimia 80 pale Ubungo. Ila kusimama na Lowassa kumemtia nuksi, matokeo yake hata asilimia 20 hapati.
 
Kubenea anasambaza sms za kutaka wakazi wa ubungo tumchague kuwa mbunge wa jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma sms kwa kuwa ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

We hukai ubungo wewe subiri kesho utaniambia
 
Kubenea kabakizwa kuapishwa kwa taarifa yako..ubungo yote tunamtaka..akili ya matope ndio haimtaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom