Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
Tupe mrejesho maana Kubenea ni Mbunge wako sasa
 
Kubenea alikuwa ashinde hata kwa asilimia 80 pale Ubungo. Ila kusimama na Lowassa kumemtia nuksi, matokeo yake hata asilimia 20 hapati.

vipi matokeo yalikuwa je?

usiwe unatumia Masaburi kufikiri.
 
Hivi matokeo ubungo bado tuu!! Maana mleta mada bado hajaturudishia mrejesho..!
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

Ivi ni nani mbunge wa ubungo?
 
mkuu vipi matokeo ya ubunge hapo ubungo, nani mshindi??
 
Please pwanikwetu njoo utupe matokeo ya ubungo, haya mambo ya ramli waachieni wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

Unajisikiaje mkuu?? na kubenea ndio mbunge yako!!
 
Wewe lazma utakuwa shamba boy Wa rizmoko

Kubenea ndo mbunge Wa ubungo na hili jimbo ni LA chadema miaka yote mpaka mwokozi atakapo rejea kutuchukua sisi tulio wasafi
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

Vipi mburura, malalamiko yako yalizaa matunda? Vipi utahama jimbo au imebidi uwe mdogo kama piriton?
 
Hahaha huwa naona bora mtu ukae kimya kuliko kujifanya mjuaji saaaaaana...mwisho wa siku ni aibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom