Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

hiloo linaona aibu.

swissme
 
Mbowe ndo kabisaaaa anunue tu luninga ya inchi 56 kutazama ili afuatilie bunge akiwa nyumbani...HAHAHAHA,nasikia raha mnooo
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

Sema sikutaki sio "hukutaki" sisi ndio mbunge wetu labda wewe tu ndio sio mbunge wako
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
Unajisikiaje kwa ushindi kwa Kishindo wa Kubenea Ubungo, tena mkiwa mmechakachua mpaka mkashindwa kabisa. Chezea wewe. Tena jaramba la uchakachuaji lisingipita magunzi msingepata hata wabunge mia.
 
Mitano ikate km lowassa mkuu sio, ila sasa nadhani atakuwa anatembelea mkongojo maana dhohoful haali mamvi.
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.
Karudishe ngawira za Masabuku alizokupa. Ninasikia fisadi la UDA lilikuwa likipita kila nyumba kudai chake halafu na wale mamluki aliokuwa analipa hela na kuwanunuliwa tisheti za Chadema basi anawatafuta eti wamlimpe. Majizi haya acha yafilisiwe tu.
 
Kubenea anasambaza SMS za kutaka wakazi wa Ubungo tumchague kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, labda nimwambie Kubenea laiti kama angeendelea na msimamo wake wa awali wa kupamabana na mafisadi na gazeti tungemchagua lakini kitendo cha cha kuabadilika na kukaa meza meza moja na mafisadi hapo ndipo ulipokosea.

Labda nikwambie jambo moja usioteze muda na gharama za kutuma SMS kwa kuwa Ubungo hatukuchagui tumechoka na wataka umaarufu kama Mnyika mwisho wa siku tunaoumi wana ubungo. Kabla kugombea jimbo hili ungemuuliza Mnyika kwanini kakimbia ubungo Kubenea umekosea njia kwa bora ungeendelea na program zako za kugombea kwenu mafia lkn ubungo umekosea tena umebugi men.

Teheteheteteee.chizi karogwa na aliyemroga nae karogwa.unajisikiaje sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom