Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Kubenea ndio habari ya Mjini Makalio ataisoma namba mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko.
Habari za Lindi Ngongo. sasa tambua Ubungo kama wanataka usanii uliotukuka, kubenea ndiyo msanii, jua hata cv yake. CV tu ni usanii sembuse kazi ya kuwakilisha ambayo hakutani na wote kwa mara moja? watasaniishwa wanaubungo mpaka wakome. Maana pia ni mtaalamu wa kuandamana bila kibali.
Masaburi ni mkombozi wa jimbo hilo maana msanii mwingine amekimbilia kwingine kwenda kusanii kibamba akijua hawamfahamu, na kule Dr. Fenella kamkamata hawezi kufurukuta, bahati mbaya viti maalum kwake havina nafasi.