Kubenea safarini India na Sweden leo

Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.

Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.

Mbona na mimi nilikuwa Canada wiki iliyopita?
 
Hivi Kubenea bana nashangaa sana pamoja kufatilia simu za kina Zito Kabwe pamoja na Bosi wa usalama wa taifa kujua kila kitu, vipi ulishindwa kuwapata waliokumwagia tindi kali?
 
Ingekuwa vema kama Kubenea angejitokeza hadharani kujibu shutuma zinazomkabili pia kuondoa mkangayiko uliopo mala mitambo imenunuliwa IPP na down payment tayali saizi anasema anakwenda Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni."which is which"
 
Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.

Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.
Tunamwombea apone haraka mzalendo huyu ili arudi tuje tuendeleze vita dhidi ya maharamia wa nchi kavu (CCM) wanaoteka chombo chetu kwa nguvu (Madaraka) na kutuibia shehena zetu (Maliasili na rasilimali mbalimbali). Tunajua vita hii ni Ngumu na Kubenea ni Kinara wa au twaweza kumwita Nguli wa vita.

Inshala, Mwenyezi Mungu akukirimu kwa mema yote unayostahili kwa mapenzi na nchi yako
 
Hivi Kubenea bana nashangaa sana pamoja kufatilia simu za kina Zito Kabwe pamoja na Bosi wa usalama wa taifa kujua kila kitu, vipi ulishindwa kuwapata waliokumwagia tindi kali?
Wewe mwenda wazimu ndo maana unakaa uchi vaa nguo kwanza ndo uje kuchangia mada.
 
Wana jf leo nilikuwa nasoma mwanahalisi.habari ya frot page imeandikwa na saeed kubenea,lakini kaindika akiwa newdelh india.vp ndo kakimbia nchi kuogopa mafisadi au ndio yale yaliyosemwa kuwa kanunuliwa na mafisadi,hivyo il aweze kuwasafisha lazima awe nje ya nchi,au ameenda kuongeza maujuzi ?mwenye taarifa kamili huyu jamaa anafanya nini india atujuze tafadhali.
 
Acha kukurupuka wewe. Amkimbie nani?
 
Wewe naye ni great thinker?
Hauwezi kutaka thread yako ipate attention ya wachangiaji kwa hila,Hiyo subject ya thread yako ilitakiwa kuwa Swali,sio statement!!
 
Back
Top Bottom