Kubenea safarini India na Sweden leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubenea safarini India na Sweden leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Jun 1, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.

  Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Best wishes Kubenea!
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,918
  Likes Received: 1,697
  Trophy Points: 280
  Hivi mpaka sasa polisi bado wanafanya uchunguzi wa ni nani alimmwagia Kubenea Tindikali?
   
 4. A

  ADAMSON Senior Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sAFARI NJEMA SHUJAA WA KWELI
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Why i feel something is not quite right with this Kubenea na mwanahalisi? especially after magamba thing.
  Na hii habari ya mtambo si tuliambiwa amenunua mtambo toka IPP? sasa Sweden inakujaje kwenye hii equation? unless watuambie kuwa mitambo ya ipp iko sweden????

  Monduli is not your average fighter!
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Unachomaanisha ndicho ninachokifikiri?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Tusibiri baada ya sweden direction ya 'uchunguzi' itakuwaje.
   
 8. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  anakoenda ataona speed ya maendeleo yao, akija atupashe awafungue macho watanzania
   
 9. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, mpaka ifike 2015 atakuwa na Radio na Tv
   
 10. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kubenea
   
 11. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo either Mzee wa Rula alidanganywa au alitudanganya...

   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,709
  Likes Received: 6,677
  Trophy Points: 280
  Gamba jipya hiyo post uliyo quote si ile original ya Halisi (post#1) inawezekana umeongeza maneno kwenye red, kama umeongeza ni kosa kubwa sana kwa JF kubadili maneno ya post ya mwingine unaweza kula hata ban, kama ni kweli yafute au umwombe radhi Halisi kama hakukuruhusu kubadili.
  Hii ndiyo post original ya Halisi

   
 13. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hizi dawa bado zinatumika bongo.

  Watu inabidi turudi kuchukua uongozi katika serikali yetu tawala.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,604
  Likes Received: 3,609
  Trophy Points: 280
  Kwenye vyombo vyetu vya habari tuna tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria.Vyombo vya habari vinaweza kuchangia katika kuua Democracy.
   
 15. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  siasa ni si hasa!!
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kama kweli kafanya hivyo ni mbaya sana... hata mi nilipoona quote yake, na kwajinsi ninavyomfahamu Halisi, nikadhani kwua ameedit out hiyo sehemu lakini post yake haionyeshi kuwa it has been edited
   
 17. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna kitu cha muhimu sana ulitaka kuchangia lakini umesita, changia tuu mkuu, usihofu ban ni kwa post zinazokiuka sheria za JF.

  Karibu.
   
 18. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,740
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Asije ikawa kalipiwa tiketi na lowasa, niliongea na mmoja wa wamiliki wa mwanahalisi akakana lakini akakiri kuwa siku zakaribuni lowasa aliwapigia simu na kuwashukuru kwa jinsi walivyovalia njuga swala la ccj
   
 19. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mpita njia heshima mbele,

  Hiyo post ni yangu na si yangu 9 Halisi 1.

  Respect
   
 20. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Pole sana Said, Mungu akutangulie katika safari yako ya matibabu
   
Loading...