lina Mongi
Member
- May 31, 2011
- 34
- 6
All the best kubenea, Mungu akuponye urudi salama na kuendelea na mapambano dhidi ya mafisadi
Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.
Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.
Mbona na mimi nilikuwa Canada wiki iliyopita?
Tunamwombea apone haraka mzalendo huyu ili arudi tuje tuendeleze vita dhidi ya maharamia wa nchi kavu (CCM) wanaoteka chombo chetu kwa nguvu (Madaraka) na kutuibia shehena zetu (Maliasili na rasilimali mbalimbali). Tunajua vita hii ni Ngumu na Kubenea ni Kinara wa au twaweza kumwita Nguli wa vita.Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi karibuni.
Kubenea alimwagiwa tindikali na kuathiri macho yake na amekua akipata matibabu nchini India.
Wewe mwenda wazimu ndo maana unakaa uchi vaa nguo kwanza ndo uje kuchangia mada.Hivi Kubenea bana nashangaa sana pamoja kufatilia simu za kina Zito Kabwe pamoja na Bosi wa usalama wa taifa kujua kila kitu, vipi ulishindwa kuwapata waliokumwagia tindi kali?
Wana jf leo nilikuwa nasoma mwanahalisi.habari ya frot page imeandikwa na saeed kubenea,lakini kaindika akiwa newdelh india.vp ndo kakimbia nchi kuogopa mafisadi au ndio yale yaliyosemwa kuwa kanunuliwa na mafisadi,hivyo il aweze kuwasafisha lazima awe nje ya nchi,au ameenda kuongeza maujuzi ?mwenye taarifa kamili huyu jamaa anafanya nini india atujuze tafadhali.