Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

hivi kuna majimbo yaliyochukuliwa na upinzani, kuna huduma yoyote serikali ya magu ilishapeleka, mie naona inaenda kwenye majimbo ya ccm, lakini upinzani hamna, sasa baadae 2020 kwenye kampeni waje wadanganye wananchi kuwa mumemchagua flani wa chama flani, mbona hajafanya lolote, chagueni kijani muone, na kwa hili upinzani wasitegemee support kutoka serikalini, kama wana wadhamini nje wajitahidi tu wawasaidie, ila sasa wakishaleta hao wahisani kama ya pale kwa lema, serikali itaingilia kati itibue kila kitu,

Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kunidanganya eti sijatimiza ahadi Kwa sababu serikalini haikunipa pesa. Je ulivyokuwa ukiahidi hukujua kuna changamoto kama hizo?
Kama ulijua je ulipanga mikakati gani kukabili changamoto hiyo?
 
Tatizo ni Kubenia au sirikali[emoji28]?

Unajua mwakilishi wa wananchi Kwa serikali mkuu?.

Mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wananchi wenzake Bungeni. Kuwasemea matatizo yao bungeni ili serikali itatue hizo changamoto.
Hiyo ni moja ya wajibu wa mbunge.
 
Wanazibania makusudi ili ionekane wabunge hawajafanya lolote,lakini tunajuwa hiyo ni kazi ya jiji chini ya meya wa kuchonga wa CCM.Mkurugenzi kada,mkuu wa mkoa kada.
Hivi Meya jiji la Dar ni kutoka chama gani?
 
Hivi hao Ukawa wamehsanyang'anywa vianIo vyote vya mapato na hata hayo makusanyo waliyoahidiwa wanapewa hakuna sana tumeenda kujenga International airport Chato.
 
Hivi Meya jiji la Dar ni kutoka chama gani?

Huyo Mbeya akiyeporwa vianzio vyote vya mapato anapataje pesa ya kujenga Barabara??

Pili hata kama anayo hiyo pesa anajengaje wakati wa mvua??
 
Kabla ya Kubenea alikuwepo Mnyika. Hakuna cha maana alichofanya na watu walilalamika sana humu na kuapa kutomchagua tena. Alichofanya alienda gombea jimbo jingine na kumwachia Kubenea, naye hakuna la maana linaloendelea. Hilo jimbo bila CCM hakuna atakayelirekebisha; kubali au kataa.

Sitaki mapovu mie sio ccm ila najua chadema wamebanwa hapo hawawezi furukuta.
hamna cha u ccm wala uchadema...usijihofie nenda streight

ila hapo tatizo si lao kelele zishapigwa sana hvyo vitu vinavyohusu miundo mbinu fungu la pesa ama bajeti haitoki mifukoni mwa wabunge bali hutoka serikalini kupitia manispaa husika hvyo kama fungu halikutengwa kutoka serikalini kwa wakati kupitia manispaa hata aje nani hapo kutakuwa hvyo hvyo....
na siyo sinza peke yake hiki nivkimeo cha taifa....kazi ya wabunge nikuhimiza serikali ili itende msmbo kwa vitendo kwa kusifia ama kukosoa ila kama haujapata uongozi sikivu hapo mbunge yeyote yule atapiga kelele na hakuna kitakachotekelezwa kwa wakati.....

subilini mjadala wa wa bajeti ya ujenzi nishati na madini ...msikilize hoja kwanza...na kama ilikwisha jadiliwa fuatilienivkilichochangiwa ...mpime
 
Hapa upinzani kwakweli tunajiangusha
Www si mpinzani,wewe unatokea CCM,Chama cha Mijinga,mnafoji mivyeti Kwa kutaka Kung'ang'ania madaraka,chama hichi ndicho kilichoitia hii nchi umasikini Huu tuliokuwa nao,hii nchi ina kila kitu cha kujidai,lakini nyinyi mmeing'ang'ania,wapeni fursa na haki zao wapinzani waendeshe,halafu nyinyi mje kukopia.lakini sasa hamtaki kuchukua aibu,badili yake mko tayari hata kuuwa lakini mbaki madarkani,hebu someni kutoka Ghana,ni waafrika wenzetu,lakini wametuzidi mbali sana katika uwazi na sheria ,kuelekea kwenye maendeleo,hakuna mpinzani wala chama tawala,umefika wakati CCM ikubali kutenda haki.
 
Kwa hisani ya vodacom...

Kazi ni kwako....
Lazima tubadili radha cuz kama wanatupa ahadi za kitom na jerry..

Mwambieni TEMBO nipo lzm nitekelz wajib wa kila mwananchi...

Unknown****
 
Www si mpinzani,wewe unatokea CCM,Chama cha Mijinga,mnafoji mivyeti Kwa kutaka Kung'ang'ania madaraka,chama hichi ndicho kilichoitia hii nchi umasikini Huu tuliokuwa nao,hii nchi ina kila kitu cha kujidai,lakini nyinyi mmeing'ang'ania,wapeni fursa na haki zao wapinzani waendeshe,halafu nyinyi mje kukopia.lakini sasa hamtaki kuchukua aibu,badili yake mko tayari hata kuuwa lakini mbaki madarkani,hebu someni kutoka Ghana,ni waafrika wenzetu,lakini wametuzidi mbali sana katika uwazi na sheria ,kuelekea kwenye maendeleo,hakuna mpinzani wala chama tawala,umefika wakati CCM ikubali kutenda haki.
We jidanganye hapo.

Nina uhakika matokeo ya kidato cha nne au cha sita kama umefika hunifikii hata nusu Kwa ufaulu. Huko chuoni ndio sitaki nikulete maana ni aibu kwako.

Kwa ujumla hujielewi.
 
Nyie watu, huu ujinga utaisha lini jamani? kwa nini uiangalie barabara mbovu kisha uanze kumlilia Mbunge????? Bajeti ya ujenzi wa barabara siku hizi imehamishiwa kwa wabunge?????
Tungemsikia basi hata akitoa malalamiko ya hii barabara huko bungeni mkuu.....au hilo nalo sio jukumu la muwakilishi wetu.....!!??
 
Tatizo kubwa kwako ni kuelewa mantiki ya post yangu. Hivyo ulivyovitaja vyote ananunuliwa.

We jidanganye hapo.

Unadhani Mimi ni wewe ulivyokuwa unasoma chuo(kama umefika). Ulikuwa huna hata kitanda wala sufuria.

Akili yako ni ndogo saana
 
Mtoa hoja yuko masomoni na kodi halipi lakini anataka barabara ya dhahabu. Unalalamika serikali haipo je ushafika hata kwa mtendaji kata kumuuliza haya maswali ayako? I doubt....
Kwa hiyo aliyepo masomoni halipii bidhaa au huduma inayokatwa kodi....!???
Au kuna kodi ya bara bara tu....!!??
 
hivi kuna majimbo yaliyochukuliwa na upinzani, kuna huduma yoyote serikali ya magu ilishapeleka, mie naona inaenda kwenye majimbo ya ccm, lakini upinzani hamna, sasa baadae 2020 kwenye kampeni waje wadanganye wananchi kuwa mumemchagua flani wa chama flani, mbona hajafanya lolote, chagueni kijani muone, na kwa hili upinzani wasitegemee support kutoka serikalini, kama wana wadhamini nje wajitahidi tu wawasaidie, ila sasa wakishaleta hao wahisani kama ya pale kwa lema, serikali itaingilia kati itibue kila kitu,
Kwa hiyo serikali inawaziba hata midomo huko bungeni wasiongelee hata kuongelea kero za wawakilishi wao.....

Hili la ubovu wa bara bara ya Sinza ulishawahi kusikia Kubenea kalilalamikia....!!??au hii nayo sio kero....!!??
 
Www si mpinzani,wewe unatokea CCM,Chama cha Mijinga,mnafoji mivyeti Kwa kutaka Kung'ang'ania madaraka,chama hichi ndicho kilichoitia hii nchi umasikini Huu tuliokuwa nao,hii nchi ina kila kitu cha kujidai,lakini nyinyi mmeing'ang'ania,wapeni fursa na haki zao wapinzani waendeshe,halafu nyinyi mje kukopia.lakini sasa hamtaki kuchukua aibu,badili yake mko tayari hata kuuwa lakini mbaki madarkani,hebu someni kutoka Ghana,ni waafrika wenzetu,lakini wametuzidi mbali sana katika uwazi na sheria ,kuelekea kwenye maendeleo,hakuna mpinzani wala chama tawala,umefika wakati CCM ikubali kutenda haki.
Kwa hiyo ukitokea upinzani hautakiwi kuhoji utendaji wa muwakilishi wako....!!??

Au watu wa upinzani wao ni wakamilifu....!!??
 
Back
Top Bottom