Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

Tumeona kupitia tv. Hoja za kijinga kama hizi ndizo zinazopelekea kupunguzwa muda wa matangazo ya tv
ujinga uko wapi hapo? kama polisi waliwadhalilisha wabunge wakike wa ukawa kwa kuwafanyia kitendo vya kinyama hivyo ulitaka atumie lugha gani? hivi shanga ni tusi? chupi ni tusi? au mnaleta hoja zenu za kipumbavu tuache kujadili masuala ya msingi ya kitaifa ambayo serikali ya kinyama ya ccm inaendelea kuyafanya kule bungeni? kama hamna cha kuwafanyia wananchi semeni siyo kuwafungia kwenye cage kwa kuwadanganyia peremende. we will neither beg nor bow.
 
Mh. Kubenea ameomba mwongozo ambao kwamba wabunge wanawake wa UKAWA waliotolewa na Polisi bungeni juzi walisachiwa na askari wa kiume, wakavuliwa chupi zao, wakavuliwa shanga zao....

Wakati akiendelea walilipuka wabunge wanawake kwa makelele ya kudai kudhalilishwa. Spika ilibidi amkatize...

Najiuliza, hivi Kubenea anafikiri sawa sawa kweli?

Nyenyere acha porojo za kichizi,

Wewe ulikuwepo kwenye ukumbi wa Bunge? Taarifa zote za media zimesema Polisi zaidi ya 30 waliovamia ukumbi wa Bunge wote walikuwa wanaume na waliwabeba mzobemzobe Wabunge wa Upinzani wakiwemo wa kike ambao walipoteza MIKUFU, SIMU, VITO VYA THAMANI NA MAPAMBO(Neno Mapambo ni pana hivo kwa wanawake ni pamoja na shanga za kiunoni.hereni n.k)

Hivo Mh. Kubenea alikuwa na haki ya kuomba mwongozo.
 
Andrew Change naona amefanya kosa kubwa la technicians kwenye ule mwongozo wa Mh Kubenea. Nadhani palr kubenea aliposema wanaweka walidharirishwa na kuvuliwa nguo za Ndani ilitakiwa Mh Kubenea alithibitishie bunge ni nani haoili kusaidia uchunguzi wa ukiukwaji wa haki za binadam.
chenge kaiokoa serikali .
 
Sasa hoja yako ipo wapi hapo ebu toa maelezo ya kueleweka, niliempa kura nimetulia we unabwaja tu,,hiyo kura ulipgia wp kama sio nyie mliokua mnapita usiku kutugawia hela za masaburi
kimsingi kubenea hata ukimtazama tu,unajua huyu mtu kichwan kwake kuna moto,anaongea kama anakula ugali wa moto,kajaa papara na si mtu wa kufikiri kabla ya kutoa neno kinywani..elimu ya hapa na pale
 
Kutaja ni jambo moja lakini ukweli wa ulichotaja au kusema ni jambo jingine. Uwe makini na hoja yako, usitoneshe vidonda vilivyokauka. Soma sheria (Tanzania Intelligence and Security Service Act, 1996) uone madhara ya kusemasema hovyo au kutaja ovyo majina ya watu wa security.
Unajiona umeongea point kumbe pumba.. Sasa mtu unaweza kumtaja mtesaji wakati humjui?
 
Mh. Kubenea ameomba mwongozo ambao kwamba wabunge wanawake wa UKAWA waliotolewa na Polisi bungeni juzi walisachiwa na askari wa kiume, wakavuliwa chupi zao, wakavuliwa shanga zao....

Wakati akiendelea walilipuka wabunge wanawake kwa makelele ya kudai kudhalilishwa. Spika ilibidi amkatize...

Najiuliza, hivi Kubenea anafikiri sawa sawa kweli?


Enzi za uhai wake Nyerere hakuwahi kuwa na umbea kama huu unaouandika!
 
si walisema watakuwa wanachagua vikao...huenda wamekichagua hiki

Bunge linaendelea ila liko live azam t.v.peke yake kwa jioni hii. Kuanzia asubuhi wote ikiwemo tbc na itv walikuwa live hadi mwenye kiti alipoliahirisha bunge hadi saa kumi jioni. Session ya jioni karudi azam peke yake wengine wameingia mitini.
 
Back
Top Bottom